komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,549
- 5,646
Hayo yote unayoyasema hku pia yapo...sijui kijiji, jamii etc.
Hzo huaga ni ardhi za jumuiya...ndo manake huaga hazina tittle deed...
Tunaposema umilikaji wa ardhi, hatumaanishi ardhi ya jumuiya, eti community land...namaanisha ardhi yako binafsi yenye hati miliki...
Manake hku iwe ni ya community, itakua yako milele, vile vile ukiikatia tittle deed bado itakua ya kwako milele[/QUOTE]Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.[/QUOTE]