Endelea kupiga kelele tu...contract ikiisha una renew ardhi tenaUkweli lazima usemwe.
Kuna wajinga wakenya wenzako eti mtu anashupalia kwa nguvu zote na kujitapa "rent nayolipa ni kubwa kukuzidi mshahara ".
Asa si ukumbafu huu??!!
Wewe unaweza kujitapa ama kuleta majigambo ya kipuuzi kama haya??!!
Ukweli lazima usemwe.
Kuna wajinga wakenya wenzako eti mtu anashupalia kwa nguvu zote na kujitapa "rent nayolipa ni kubwa kukuzidi mshahara ".
Asa si ukumbafu huu??!!
Wewe unaweza kujitapa ama kuleta majigambo ya kipuuzi kama haya??!!
Says someone who leases land from the same government he praises day and night. Vilaza bado wako wengiApart from slums and tribalism, Kenyans own nothing, land belongs to wazungu and Kenyatta family
It Nicxie again πππππππ.. kwani ata kama state ndo ina own the land kwani hiyo state ni kina nani?.. si sisi watanzania wenyewe au πππππ .. au unathani hiyo state ni wahidi au wakora kama kenya hukoπ€¦πΎββοΈ.. huo ni mfumo ulio ekwa ili kuondoa mfumo wa ki ubepari (capitalism) ili kila mtanzania anufaike. Ndo maana kenya ukizaliwa maskini most probably utakufa maskini...π au bado hamja figure that out? .π€·π½ββοΈ. The land is own by the state of Tanzania which the state is the Tanzanians them selves... we Nicxie wewe πππππππ nisha kuambia ukitulize huelewagi.. yo so dump broo ππ. Lakini Iβm getting used to it now.
Nimemletea article pale inahusu "Nani anaimiliki Kenya"?.
Unaambiwa asilimia 65 ya ardhi yenye rutuba inamilikiwa na watu asilimia 20 .
Watu asilimia 80 ndio wanamiliki asilimia 17 ya ardhi ya rutuba iliyobaki huku nyingine ikiwa sio ardhi zalishi.
Hivi hii ni sawa kweli???!!!
Nakuambia hawa sisiemu imewashika sehemu nyeti hawapumui ila wamepumbzwa hawaezi onaShamba la babako sio lako..anakukabidhi lkn akiwa na mradi wowote ule huna budi kunrudishia afanye yake
[/QUOTE]Yote hayo miaka 33 mpka 99 ikifika.unatakiwa uka renew hyo ardhi...
Unajua maana ya ku lease wewe
Says someone who leases land from the same government he praises day and night. Vilaza bado wako wengi
Asante kwa kukubali kwamba serikali yenu inamiliki ardhi yote Tanzania na kwamba nyinyi mnakodishiwa tu hiyo ardhi. That's the only thing I wanted to hear. Hizo zingine zote umesema ni kelele tu
Hku kwetu hayo hufanyiwa raia wa nje...yani una renew ardhi km squater vile...
Yani mimi hapa nikinunua ardhi popote pale kenya...naimiliki milele...
Chanzo cha mada ilikuwa kwamba wakenya wengi HAWANA haki ya kumiliki ardhi. Hizo percentages za umiliki tena yametoka wapi??I like how you lick your own shit.
Endelea kupiga kelele tu...contract ikiisha una renew ardhi tenaView attachment 1228627
[/QUOTE]we komora sikia.... una enda ku renew ardhi but no body will ever take it from you, unless serekali ina kitaka ambapo watakulipa fidia, nikiwa na maana wana kinunua kutoka kwa mwenye kiwanja. na pia ni mfumo wa kuhakiki kama bado mwenye kiwanja yupo kwasababu kuna mwengine anaweza akawa ame fariki na hakuweza kukabithi kwa ndugu yake yoyote au mtu yeyote wakaribu.... Sasa nime kuelezea hvyo nengβeneka tena uje na point zako za ajabu.. tuta kujumuisha na wenzako wakiongozwa na baba yao....NICXIE.. lakini Nicxie mme mtoa wapi lkn.. yani ni muoongo.. ivi ni mkenya kweli?. kwasababu mnaweza kumkata. Sio kwa uwongo alio kua nao
Nakuambia hawa sisiemu imewashika sehemu nyeti hawapumui ila wamepumbzwa hawaezi ona
[/QUOTE][/QUOTE]Yote hayo miaka 33 mpka 99 ikifika.unatakiwa uka renew hyo ardhi...
Unajua maana ya ku lease wewe
Kaama mali za babako sio zako kwann wazirithi akifariki?Shamba la babako sio lako..anakukabidhi lkn akiwa na mradi wowote ule huna budi kunrudishia afanye yake
Eti kukodisha kwa kiingereza ni renting? π π π π Are you redefining English? Then what is leasing kwa kiswahili?Unajua maana ya kukodisha au kiswahili kigumu.. aya basi kwa kingereza ni ku rentππ Inamaana unachukua kitu kwa mtu badae uta kirudisha... sis hatu rent viwanja tuna vinunua, ina maana hatu virudishi, but Serikali ina haki ya kuvichukua wakivitka.. na itβs obvious wakitaka kuvichukua ina maana wanataka kutumia hiyo sehemu kwajili kitu cha uma..na pia waki vichukuaga wanalipiaga fidia, in other words, wanakinunua kutoka kwa mmiliki.. wee Nicxie wewe πππππ you soo dumb broo. You got to something men, I think itβs getting worse day by day ππ.. ni ushauri tu lakini