Samahani kaka, nimekosea kuwapatia hadhi ambayo haifai. Waliona ni aibu kuwaleta wageni wa kimataifa kwenye Dar-is-a-slum wakaona kuanza kwa ukurasa mpya pale center inaetwa Dodoma 🤣 🤣 🤣dodoma is a market center
it is an insult to compare it with eldoret
Hii inakaa studio ya KTN 1990. Tushasonga, tushapita hapo. Unasahau the second largest Bureau ya BBC duniani iko Nairobi after London? wasahau HQ ya Startimes Africa iko Nairobi? hii ya Azam haifikii hata vernaculars (tier 2) kama akina Kameme na Inooro leave alone Ebru AfricaHaya hakuna kama Azam Tv Africa mashariki na kati, hahaaaView attachment 1228106
Nawaambia mnajisifia mamb ambayo sisi tumeona hadi tukachoka
old K24 studios