Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Na shidamoja na nyie wakenya data zenu hazi reflect uhalisia... ndo shida inatokea hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..
 

jambojet flies to somalia not kenya airways

https://www.routesonline.com/news/3...ways-schedules-mogadishu-service-in-dec-2018/

ichoboy and tunna05 open that link read it and stop being blockheads


ic
 
Wakenya wanajidai wasomi lakini wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. kitukimoja wanacho julikana ni kwa uwongo na kujisifia vitu ambavyo havipo..
Mimi huwashangaa sana hawa watu.
Na bahati nzuri mm sitakaa nikabishana nao kwa lugha ya mabeberu wanaojitapa nayo.
Nakipenda kiswahili na hujivunia kiswahili tutaeleweshana kwa lugha hii hii.

Hawa majamaa Kiingereza ndio wao huchukulia usomi.
Mm huwashangaa sana.
 
Hatusemi Kenya Airways flies to somalia but you used to 12 years ago.. kuna mkenya mwenzenu alizama huku kichwa kichwa aka sema Kenya Airways haija wahi kwenda somalia.. ndo tatizo letu lika anzia apo

somalia 12 years ago was no go zone no airline will risk flying to somalia
kenya airways has never flied to somalia
jambojet does
 
Subili mwakani siyo mbali hizo ndege zetu NNE mpya tulizo lipia cash zitakua zite zimekuja mwaka huu tunapokea Mbili mpya hapo ndiyo tutaanza safari za Kenya na ndiyo utakuwa mwisho wa KQ
Hiyo ATCL kwanza ibishane na Fly540, Precision Air (subsidiary ya KQ) and Fastjet kabla wafikirie kupingana na KQ ambayo bado inatesa hata ikiwa ICU
 
Fine,let us assume that i agree with you(which unfortunately i dont)..log into google and give me the top 10 richest countries in the world assuming that you know how to google...
 
Fine,let us assume that i agree with you(which unfortunately i dont)..log into google and give me the top 10 richest countries in the world assuming that you know how to google...
The problem is that you hat losing to Tanzanians.You have been educated and if you don't agree with him walk away because he is utterly right. Oh, and just so you know, Google is just a search engine, it'll bring you all information out there regarding what you need but not all of it is true or reliable.
 
Faida ioneka sasa πŸ˜‚πŸ˜‚.. sio una lease afu you running on losses. Acheni kujitete ujinga.. Kenya Airways is a mess

before it became loss making
kenya airways was once the most profitable airline in the world
this are business cycles
ethiopian airlines which is the best and most profitable airline in africa leases most of its planes
now tell me when last did you post any profit you cant even clear your debts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…