COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Toa evidence....propaganda ukianza kufuata inaonyesha uko chini budaKoinange yule aliyeachishwa kazi CNN kwa kosa la ubakaji au koinange mwingine?![]()
![]()
![]()
![]()
Toa evidence....propaganda ukianza kufuata inaonyesha uko chini budaKoinange yule aliyeachishwa kazi CNN kwa kosa la ubakaji au koinange mwingine?![]()
![]()
![]()
![]()
Sea foods ni culture yetu wewe. Sio kama nyinyi culture ya chakula chetu kitheri hahahFood..kwanza ni ugali...maze iyo ni form kuisha kabsa
kabisaaa
Kitheri ndo????? Staple food ya Kenya ni sembe msee..na kunafood mob..ukitaka picha za food fungua trendSea foods ni culture yetu wewe. Sio kama nyinyi culture ya chakula chetu kitheri hahah
we mshamba kweliHizo mahoteli nimeshinda nikiziona mkuu!! Wajua Nairobi tukasema kupiga picha hoteli mtachoka, ndio maana huwa tunaweka za eneo kubwa, kuchukua street nzima ama aerial photos!
Hamna lolote hapo Dar mkuu, mnaruhusa ya kuchanganya kila pembe TZ nzima mlete league na Nairobi
inaonekana huyo Edith kimani ndio icon wenyu kwa sasa.I hope umetosheka sasa, nilikushow ni wengi. View attachment 510506 View attachment 510507

Ikikam kwa jonalism wachia wazito mseeKoinange yule aliyeachishwa kazi CNN kwa kosa la ubakaji au koinange mwingine?![]()
![]()
![]()
![]()
ovyo hamna kitu apoKijabe street in Nairobi, industries and hardwares
![]()
Umekurupuka kijana wa kijaruo.hii ndio shida ya kutafuna miraa bila kula.Ikikam kwa jonalism wachia wazito msee![]()
![]()
![]()

Sasa unaanza kujivunia stations zingine before za kwenu....sasa kama Larry madowo ako na followers wengi kumshinda na ako kenya? Iyo ni aibu ganiUmekurupuka kijana wa kijaruo.hii ndio shida ya kutafuna miraa bila kula.
hatuzungumzii local journalist who work in kenya media houses.
tunazungumzia Kenyan journalist who work in international scene the like of BBC,CNN and aljazeera.
ojey embu elimisha hii jaruo.
ulinielewa kweli?....au kiswahili ninachoka andika ni kigumu kwako kuelewa?.Sasa unaanza kujivunia stations zingine before za kwenu....sasa kama Larry madowo ako na followers wengi kumshinda na ako kenya? Iyo ni aibu gani

Sasa kama majournalist wakenya wanamshinda followers twitter kuna haja gani tuendelee msee..msee 176k Larry 909k aibu kubwa...usiringe tenaulinielewa kweli?....au kiswahili ninachoka andika ni kigumu kwako kuelewa?.
nani aliyesema kuwa kenya inaongoza kuwa na journalist katika international media?.
Huyu uyacompare na mgani Tz...maze b4 uanze mada research kwanzaulinielewa kweli?....au kiswahili ninachoka andika ni kigumu kwako kuelewa?.
nani aliyesema kuwa kenya inaongoza kuwa na journalist katika international media?.
halafu kwa wakazi wa east Africa,wanaongoza kwa idadi ya followers kwenye socia media ni watz.
nao ni diamond platnumz na ally kiba.huyo miduwo ni mjinga tu flani.![]()
![]()
![]()
kwa hiyo huyo miduwo anafanyia media gani ya nje kwa sasa?Sasa kama majournalist wakenya wanamshinda followers twitter kuna haja gani tuendelee msee..msee 176k Larry 909k aibu kubwa...usiringe tena
Wanaongoza kwa Instagram pekee...kuja Twitter ujionee ata uhuru Kenyatta na magufuli uwacompare Twitter...Instagram niya watoto wako adoleulinielewa kweli?....au kiswahili ninachoka andika ni kigumu kwako kuelewa?.
nani aliyesema kuwa kenya inaongoza kuwa na journalist katika international media?.
halafu kwa wakazi wa east Africa,wanaongoza kwa idadi ya followers kwenye socia media ni watz.
nao ni diamond platnumz na ally kiba.huyo miduwo ni mjinga tu flani.![]()
![]()
![]()
karibu sana...Ngoja nitafute hela nije dar es salaam sio Kwa vyakula hivyo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ako Ntv Kenya na anashida msee ako BBC...aibu aibu aibu..sasa journalist watz wanajua ata twitter kwelikwa hiyo huyo miduwo anafanyia media gani ya nje kwa sasa?
hio supermarket huoni jina hapo nani kaandika mall?????? 😀😀😀😀😀😀😀😀Hii tao inakaaje fake man..sasa hizo ma mall utacompare na two rivers kweli???? Acha ata two rivers ata 2 yaya centre hauezi compare na hizo malls