Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,737
- 107,188
Hapana Ikulu ibaki hata kama itakuwa museum majengo yabaki hayohayo! Tembea uone mzee kila nchi ina iconic cum historic zake! Huwezi kuzi-erase like that kama ni hivyo UK majengo mengi ya kifalme yasingekuwapo! Ikulu, Ocean road hospital na zile mahakama magogoni will stay! Hayo unayotaka kufanya yanaweza kufanywa Kigamboni!Tatiyo hiyo ikulu IPO eneo tatanishi cbd sasa imekua kama trap fulani ukiwa unatembea tembea mjini kujikuta upo chini ya ulinzi ni kawaida wengine wanataka kutalii mjini sasa ukikosea njia tu matatizo hivyo ni busara hiyo Ikulu ijengwe sehemu nyingine dar hapo ilipo patumike Kibiashara pajengwe mall kubwa kuliko zote tz na mahoteli kubwa pamoja na park
Lengo ni kuwaelimisha na kuwaelewesha wajue kwann wakongo man huwa wanajisikia salama zaidi wanapokuwa karibu na jwtzmkuu unataka tuwaumbue zaidi hawa manyang'au aiseee tuwahurumie kwa kweli
Mbona huku kwetu kuna Wakisii wanapasua mbao kwa raha zao. ninyi kwenu kelele kibao. wanavukia tavetaKwanza Migori siku hizi wako wengi sana. Wanavukia Sirari border
Laizerg umefungulia mzinga wa nyuki 😂😂👏
Simaanishi liondoke, ila waruhusu uwekezaji maeneo ya karibu na ili kuepusha hofu ya ulinzi wa raisi anapokuja dar wajenge sehemu ingine atayoitumia wakati akiwa dar. Ili sehemu za karibu na vilevile ufukweni kuwe na shughuli za uwekezajiTatizo ni kufikiri towers ndo zitapendezesha eneo linalopendeza lilivyo sasa! Mimi nitapenda likibaki kama lilivyo! Lina historia kubwa ya nchi hii! Nyumba ya George Washington na Ikulu ya kwanza ya US zote bado zipo!
Hizi sura I doubt if they really are TZsNot a good show though.....we are all east Africans.They should be left aloneView attachment 1207932
Hao wanafanya kazi. Hawatembei na bakuli mikononi wakiomba pesaMbona huku kwetu kuna Wakisii wanapasua mbao kwa raha zao. ninyi kwenu kelele kibao. wanavukia taveta
Sura za Tanzania zinakaa aje? Mmeanza kuwakataa wenzenu 😂 😂Hizi sura I doubt if they really are TZs
Kudadadeki! Hizi umezipigia Oyster bay?Progress on the Bridge and CRDB HQ .
View attachment 1208272
View attachment 1208273
View attachment 1208269
View attachment 1208270
View attachment 1208271
Sasa pakijengwa mall ndaniyake pawe na mambo ya ukumbusho wa ikulu na utalii ,utamaduni pia pafanywe kuwa central ya city tour pia hiyo mall ipewe jina la IKULU MALLHapana Ikulu ibaki hata kama itakuwa museum majengo yabaki hayohayo! Tembea uone mzee kila nchi ina iconic cum historic zake! Huwezi kuzi-erase like that kama ni hivyo UK majengo mengi ya kifalme yasingekuwapo! Ikulu, Ocean road hospital na zile mahakama magogoni will stay! Hayo unayotaka kufanya yanaweza kufanywa Kigamboni!
Hapo lazima wakenya waseme " all in all is me against the world"Progress on the Bridge and CRDB HQ .
View attachment 1208272
View attachment 1208273
View attachment 1208269
View attachment 1208270
View attachment 1208271
Kudadadeki! Hizi umezipigia Oyster bay?
Wakenya utawasikia Dar ni tower tatu [emoji57]Progress on the Bridge and CRDB HQ .
View attachment 1208272
View attachment 1208273
View attachment 1208269
View attachment 1208270
View attachment 1208271
Open up ur horizon over 80% ya openspaces Dar zilivamiwa na kubinafsishwa kwa kuendekeza fikra za namna yako! Ikulu ibaki katika mikono ya serikali na isitumike kibiashara. Uelewa wako wa significance ya ile sehemu ni mdogo! Sikulaumu!Sasa pakijengwa mall ndaniyake pawe na mambo ya ukumbusho wa ikulu na utalii ,utamaduni pia pafanywe kuwa central ya city tour pia hiyo mall ipewe jina la IKULU MALL
Invest in photography bro uko poa sana na usihofie kwenda kwny motion pictures pia,unaeza ukaanza na vtu short short, ishi ndoto zako sky's the limit, angles,positioning,details,lights and shades control...ndani ya limited equipments I salute you.Progress on the Bridge and CRDB HQ .
View attachment 1208272
View attachment 1208273
View attachment 1208269
View attachment 1208270
View attachment 1208271
Invest in photography bro uko poa sana na usihofie kwenda kwny motion pictures pia,unaeza ukaanza na vtu short short, ishi ndoto zako sky's the limit, angles,positioning,details,lights and shades control...ndani ya limited equipments I salute you.
Jah Bless.Thank you Bro.