Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaletaje magofu ( vitu ambavyo havijakamilika ) ??

hiyo GTC mchina hajaisha bado na yule wa Addis pia bado, watu wanazungumzia vilivyokamilika
 
Hii picha moja ulipost 2017, ukaiipost tena 2018 mfululizo, sasa tuko 2019 na bado unaipost tu kila siku.
Imekuumiza sana maana nimeshangaa munapost jam za magari nikajua mushamaliza😆😆😆😆😆😆
 
Waambie watuletee building kwa no za floors. Tunajua all buildings in kenya contain antenna.
Tunajua standard height per floor is between 3m to 3.8m watuambie hizo height zingine kwenye majengo yao zinatokana na nini!?
If that was the case, Ponte City apartment in Jo'burg would have been the tallest building in Africa at 55 floors. Urefu wa nyumba haupimwi na idadi ya floors but height
 
With mnara juuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawajui hiyo ponte city tower is just 173m. The tallest building in Africa now is this one, iko SA.
If that was the case, Ponte City apartment in Jo'burg would have been the tallest building in Africa at 55 floors. Urefu wa nyumba haupimwi na idadi ya floors but height
 
Huyu bwana Bomu la machozi anajihesabia na hadi ambavyo havijakamilika
Subiri hizo jengo zikamilike then tuweke mwenye list mzee

Mbona ukigoogle mwenye list huzikuti hizo jengo!!?

Watu wanazungumzia jengo zilizo tayari sio magofu hayo, mbona Dar kuna Mzizima tower A 35 floors na tower B 33 floors hatuzungumzii
 
Pole kwa maumivu.[emoji23][emoji23][emoji23].The tallest building in the world has iko na antenna refu kuliko GTC office tower.
With mnara juuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukileta their height ntainclude in the list.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…