Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeshindwa na zenu ukarudi kibera
I already told him alete tu za kibera if he fails to counterattack my argument with photos of middle income estates like za eastlands I shared before. Looks like he's very good at following instructions. He's playing along very well 😂 😂
 
We jamaa unashida sana
Njoo makongo tu hapa ustaajabu inameza vibanda vyote hivyo...
Goba, madale,tegeta mbweni Ni moja ya maeneo safi kabisa,izo vibanda vinakunyima usingizi kisa nn
sometime nyie watu akili ni ndogo sana kisa kukulia michembe
Hivi hayo maeneo uliyotaja yamepimwa wapi? Hayo yote ni slums tu isipokuwa wanaishi watu wenye nafuu kipesa wamenunua maeneo makubwa na kujenga nyumba nzuri hivyo hakuna density kubwa kama maeneo ya maskini lakini bado ukiwa juu ya ndege unaona kabisa makazi ya hovyo hovyo no planning
Maeneo yaliyopangika hata ukijenga dream house zinapendeza na yana make sense lakini yakiwa poorly planned hata ujenge mansions hakuna kitu ni rubbish tuu
 
Wewe mkumbafu wa kibera tuletee hizo slum tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lol......wacha warudie tu.Yaani these people still think they are in Nairobi's league...like for real...!!!smh
sasa nyie mnapata tabu ya nini....

kama dar si league yenu kwanini mpo hapa......hamuoni kama mnajidharirisha au ndiyo ujobless mnatafuta pakuondolea stress ...

kwa ushauri mzuri tu mnaweza kuiacha thread na kuwafuata walio kwenye league yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungejiuliza hii thread ilianzishwa na nani. Aliyeanzahisha thread alitaja jina ya Nairobi ndio maana tuko hapa. I hope jibu umepata
 
NAIROBI CITY OYEEEE

STUPID KENYA stupid nation

hizi uozo kwa kweli mjitafakari.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

maisha yenu yapo hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Watu wameishiwa na picha sasa ni kupost kibera ....na kuongeza fake photos pia.lol
 
Ungejiuliza hii thread ilianzishwa na nani. Aliyeanzahisha thread alitaja jina ya Nairobi ndio maana tuko hapa. I hope jibu umepata
[emoji38][emoji16][emoji23][emoji23]unaongea ulevi mkuu

swali kwanini mnasumbuka kushindana na DAR wakati hampo league yetu.....?

hamuoni kama mnajizalilisha...?

hamuoni kama mnapoteza mda ,au kwa kuwa hamna kazi za kufanya...?


aliye juu huwa anakausha kimya tu ni sawa na uende kwenye thread za wanyamwezi halafu ukacompete NAIROBI vs NEW YORK....fanya hivyo uone jinsi thread litakavyo doda hautopata commeng yeyote ya mmarekani na ukipata labda itapewa tusi tu...

nakuonyesha tu mfano vile jinsi aliyekuzidi kamwe hawezi kupapatika kwa aliye chini yake...

acheni ujinga jamii yenu ya kikenya ni poorest tu tena sana......msijipe tabu ya kujifariji no wonder in nairobi[emoji2][emoji2]
 
AT NAIROBI KENYA
sir can u help me...dizain maisha yanaendelea kudadeki...[emoji38][emoji38]how daah

unatoka chokoraa version place halafu unakuja kutamba na estate za wanaume wenzako

povu ruksa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…