ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
speed ipo coz ukiangalia big projects za estates nyingi zinajengwa kigamboni na baadhi ya infastructuresLakini naona kama things are happening very slowly
speed ipo coz ukiangalia big projects za estates nyingi zinajengwa kigamboni na baadhi ya infastructuresLakini naona kama things are happening very slowly
Zile main road kama kibada mwasonga road wangeweka lami ingekuwa bomba sana. Nilipita kule juzi. Haikuwa poa kabisa. Ila napenda jinsi kigamboni ilivyopimwa.speed ipo coz ukiangalia big projects za estates nyingi zinajengwa kigamboni na baadhi ya infastructures
i think kwenye budget ya mwaka huu inaeza kutekelezwa maana ngosha kaekeza nguvu nyingi kwenye barabara na viwandaZile main road kama kibada mwasonga road wangeweka lami ingekuwa bomba sana. Nilipita kule juzi. Haikuwa poa kabisa. Ila napenda jinsi kigamboni ilivyopimwa.
Bora wafanye hivyo. Maana mahari ya cement yanayotoka kimbiji yanakwama sana. Ili kuvisupport hivi viwanda inabidi vipate barabara nzuri.Zile main road kama kibada mwasonga road wangeweka lami ingekuwa bomba sana. Nilipita kule juzi. Haikuwa poa kabisa. Ila napenda jinsi kigamboni ilivyopimwa.
Ichoboy01 ni maeneo gani haya?CRDB BANK HQ............kazi imeanza dar ya moto
![]()
![]()
![]()
![]()