game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
Wewe ukiambiwa uchague kati ya Kuishi Somalia au Namibia utachagua wapi? Hii inajibu mantiki yaIngekuwa hivyo ungekuta Tzn inaongoza kwa kila kitu kuanzia economy hadi quality of life unfortunately kila figure inawaweka same level na Burundi Somalia DRC and the likes as poor ldc
What you are doing now is just kukimbiza mwizi
wewe Mkenya kuchagua Kuishi Tz over Kenya, who will chose to live in a poor country with poor Health services, poor water supply, Poor Transport infrastructure, Hunger, Insecurity etc??
Yaani kiuhalisia Tanzania imeendelea far zaidi ya Kenya,
Hizo figures hazina maana yoyote, tena kwa jinsi informal sector tz ilivyo pana na kubwa ingehesabiwa kwenye GDP tungekuwa na $150bn,
Nikusaidie kitu, Kama Wakenya ndio wangekuwa Tanzania kwa wanavyopenda sifa wangejilipua na GDP ya $200bn,
Angalia hiyo link hapo chini
Kwani unadhani kwa nini wakenya wengi mnapenda kuja kuishi Tanzania Kuliko kubaki huko Kenya?
Why not Somalia, Burundi, DRC ama Uganda kama ulivyomention hapo?
Jaribu kushirikisha ubongo ukiwa unajadili mambo ya msingi.