Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie ambao uzalishaji upo juu mbona hiyo pesa haifanyi chochote?
Inaliwa ya wachache,
Nyie mkionaga kitu hakiwezekani kenya basi mnaonaga haiwezekani kila mahali [emoji23][emoji23][emoji23] badilisheni hizo mind set zenu.
Tanzania inamwaga pesa nyingi hivi mahali ambapo uzalishaji na kulipa kodi ni chini sana?
$money not well $pent.
 
Modern BRT

Largest and Modern Airport in EA

Modern, Longest bridges in EA-Kigamboni Bridge and Sarenda Bridge

Largest and Modern Stadium in East Africa

Modern health facilities than the Whole Kenya combined,

Electric SGR

Halafu uache kujitoa ufahamu, Dar has more 30+ floor towers than the whole kenya,
Dar CBD + Kariakoo is Larger than Nairobi + Mombasa combined, hutapenda ila ndio ukweli wenyewe.
Video ya progress ya sgr itatoka in a week or two, I can't wait to watch it. Watakuwa wamefika mbali sana, sijaenda upande wa sgr construction wa Dar kwa muda
 
Modern BRT

Largest and Modern Airport in EA

Modern, Longest bridges in EA-Kigamboni Bridge and Sarenda Bridge

Largest and Modern Stadium in East Africa

Modern health facilities than the Whole Kenya combined,

Electric SGR

Halafu uache kujitoa ufahamu, Dar has more 30+ floor towers than the whole kenya,
Dar CBD + Kariakoo is Larger than Nairobi + Mombasa combined, hutapenda ila ndio ukweli wenyewe.
your gdp=55 billion
kenya-100billion
 
Their is another 27 storey building coming up in Westlands.... Kwa hii speed sioni city yoyote hapa afrika ikiifikia Nairobi hivi karibuni upande wa majengoView attachment 1196349View attachment 1196350View attachment 1196351
yan wewe unaongelea ambazo zitajengwa!huku tunajenga na zingine zishaisha,tena 10 km kutokea cbd!hilo eneo la pembeni kuna skyscrapers kama nne zitafuatia
Screenshot_20190130-195001.jpg
ya
 
Ww wacha hadithi za 2014, sasa tuko 2019 na bado proposal zinazidi kutokea kila kukicha. Construction boom ya sasa ya Nairobi imeizidi ile ya Dar ya 2014 kwa mbali sana....na bado ukumbuke yakuwa old cbd ilikuepo kabla ya hii wave mpya ya majengo kuanza
yan wewe unaongelea ambazo zitajengwa!huku tunajenga na zingine zishaisha,tena 10 km kutokea cbd!hilo eneo la pembeni kuna skyscrapers kama nne zitafuatia
View attachment 1196499ya
 
Modern BRT

Largest and Modern Airport in EA

Modern, Longest bridges in EA-Kigamboni Bridge and Sarenda Bridge

Largest and Modern Stadium in East Africa

Modern health facilities than the Whole Kenya combined,

Electric SGR

Halafu uache kujitoa ufahamu, Dar has more 30+ floor towers than the whole kenya,
Dar CBD + Kariakoo is Larger than Nairobi + Mombasa combined, hutapenda ila ndio ukweli wenyewe.
Ingekuwa hivyo ungekuta Tzn inaongoza kwa kila kitu kuanzia economy hadi quality of life unfortunately kila figure inawaweka same level na Burundi Somalia DRC and the likes as poor ldc
What you are doing now is just kukimbiza mwizi
 
Ww wacha hadithi za 2014, sasa tuko 2019 na bado proposal zinazidi kutokea kila kukicha. Construction boom ya sasa ya Nairobi imeizidi ile ya Dar ya 2014 kwa mbali sana....na bado ukumbuke yakuwa old cbd ilikuepo kabla ya hii wave mpya ya majengo kuanza
Ongea kwa vitendo,leta picha,usilete zile zile za kila siku
 
Leta buildings za Dar kuanzia 2005 na mm nilete za Nairobi kuanzia 2012 tuone ni city gani ina nyingi.building ya kwanza kujengwa Dar ilikua Bot towers kitu 2005,sasa ina maana Dar tutahesabu towers zote lakini Nairobi tunahesabu zile zimejengwa kuanzia 2012 hadi sasa

Dar is next level wewe mkibera,acha kuilinganisha na huo uchafu wa majengo yenu ya kikoloni
 
Unaongelea hizi 13 counties au

Back
Top Bottom