Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Natukiwambia Nairobi ina Kariakoo zaidi ya mia wanaanza kulia
Hio project under construction in this video is Business bay square shopping mall Eastleigh,Have a look
1567439918014.png
DLR_EastleighNairobi_CGI09_03HR_576by576.jpg
 
old cbd footage
Ni nzuri,nmependa iyo road imekaa vizur...space na miti, Ila video imekava hadi upper hill tunaiona na part za Westland wewe unasema Old CBD. ..acha kuongeza chumvi kwenye chai unaharibu ladha
 
Acheni tu hili shirika life likapumzike yani kunavichekesho sana😆😆👇👇👇👇

 
Kwenye comment hapo nyang'au hawakosekani na zile comment zao za kipumbavu "come to kunya"
Kuna habari nimeisoma luxury hotel za masai mara zimeshusha bei sawa na bure hakuna wateja🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja niitafute
 
Back
Top Bottom