Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

za mwaka gani hizi? BTW u have no idea where Posta is! seeing the towers doesnt mean it is posta the distance is at least 15 km!
Mwenzenu alipoleta ya Upperhil with kibera in the foreground did he reason the same you are reasoning here? Just the same way you have no idea you have no idea where Upperhil is kutoka kibera. Ni distance mbali sana
 
2012....

Almost 7 years ago [emoji16][emoji16]
That doesn't change anything. The fact that Dar is poorly planned still remains. Ama unataka kuniambia kwamba ndani ya hizo miaka saba Dar has come up with a new master plan that has eliminated the poor plan of the city? Kuna vitu hazifai mabishano
 
That doesn't change anything. The fact that Dar is poorly planned still remains. Ama unataka kuniambia kwamba ndani ya hizo miaka saba Dar has come up with a new master plan that has eliminated the poor plan of the city? Kuna vitu hazifai mabishano
Unachekesha ww.
Miaka hyo saba kuna maeneo yanavunjwa na kurekebishwa.
NHC,WATUMISHI HOUSING NA NSSF ndio wanafanya hilo.
Unaongea nn ww
 
Unaongea ulichokaririshwa sio unachokijua.
Majengo kibao yameshavunjwa na kujengwa upya we wakariri ya 7 years ago.
Na Vipi kuhusu hizi dream houses? Mbona hizi hazijavunjwa ama hii pia ni 2012?
 
#157180 hii post km umesoma na kuielewa utakuwa ushapata jibu.
KUNA MAENEO YASHAANZA KUVUNJWA NA KUREKEBISHWA SIJASEMA KUWA MAENEO YOTE.
UMESOMA SHULE GAN WW????!!!!
The thing is, Dar is poorly planned and that is a fact you'll never run away from. Mahali niliosoma isiwe issue kwako sababu najuwa nakuzidi akili mara mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…