Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why not with KQ with over 50 yrs of experiences?
KQ vituko vingi mnaweza kusafiri abiria 70 from Nairobi to DSM wanakwambia wanaweza kubeba vinmzigo vya abiria 50 tu, hao 20 waliobaki watatangulia mizigo yao wataisubiria jnia ije na ndege ingine baadae. Sasa nkajiuliza, kwanini wasingebeba abiria 60? au vyovyote vile kila mtu afike na mzigo wake bila kungoja? that's one of kq's habits that will never change sababu wanauroho
 
Sijui kama umenielewa nimekawmbia ukanushe kuwa Tanzagiza Ina 1500MW afu unitag nikupe Hali halisi 😂😂😂
Sijui kama umenielewa kiswahili 😆😆😆 nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800 ukipata nitag nifunge acc
 
Safaricom[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe huaga unaumia na kasarani kuona umetengenezwa
Endelea ku filter mm binafsi hua munanifurahisha sana😆😆😆😆 kama mulibomoa mukajenga tena sawa ntakubaliana na ww🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…