Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kuhusu hapo nyuma ya hizo buildings?Kunapendeza kweli

View attachment 1173934View attachment 1173936
Yaani nyumba zimepigwa rangi kabisa na kupangiliwa hivyo ndo unaota slums?

Kama sio wivu ni nini
tapatalk_1565110339111.jpeg
 
Yaani nyumba zimepigwa rangi kabisa na kupangiliwa hivyo ndo unaota slums?

Kama sio wivu ni niniView attachment 1173938
Kando ya barabara nyumba zinaweza kuwa zimepangwa vizuri. Lakini Vipi kuhusu hatua tano ama kumi kutoka hapo? Je hizo sehemu zingine hazifai kupangwa na kupendeza? Mipango miji bado mko nyuma sana na mna mengine kijifundisha kutoka Nairobi
 
Uwanja wa uhuru una mandhari nzuri kuliko kasarani na hii second biggest stadium in dar👇👇👇👇👇👇
351ECD6A-C53F-4DE7-811B-B3910D8DEA69.jpeg
A9696BB9-E55D-4A18-95F6-E0AECD4EC072.jpeg
 
Mzungu aeke satellite hewani asione kua hapo kuna slum aone za nairobi 😆😆😆😆😆 labda slum imepoteza maana yake
Mbona unaweweseka? Ni wapi nimetaja slum? Ama huenda unashuku hizo mitaa zikawa ni slums ukizingatia hali yao na mipango?
 
Mbona unaweweseka? Ni wapi nimetaja slum? Ama huenda unashuku hizo mitaa zikawa ni slums ukizingatia hali yao na mipango?

Kwan unafkiri ww ni mgeni kwetu???😆😆😆😆😆 akili zako hazijatofautiana na wanjala
 
Alafu mbona huwa akiambiwa azoom hataki [emoji23][emoji23][emoji23]
This is Mombasa Road, with Airtel Africa headquarters on the left. Nyuma ya Airtel ni South B estate (just part of it). Is it close to the Kijitonyama are as far as planning is concerned? You can also zoom (if that's the only way you can see well)

Screenshot_20190806-204358.png
 
Back
Top Bottom