stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,118
- 39,232
Vitu tunavyopenda kuviona 😂😂😂😂😂😂Round inayofuata tumaini lao la Tasker wanakutana na Singida Black Star. The most deadly team. Huo ndio utakuwa mwisho wa safari yao. Kitara FC ya Uganda nao wamekwaa kisiki
APR FC nao Muuaji amewafikia. East Africa zinabaki timu za Tanzania tu.
View attachment 3670132
kitara wamemkosea sir God wapi 😂 😂 😂 😂 , hao tusker wangeona wenzao wamekula 7 wangekata tamaa tu