Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nmekuambia kwann huwa huzoom hizo picha za Dar alafu unaniletea nn hapa
This is Mombasa Road, with Airtel Africa headquarters on the left. Nyuma ya Airtel ni South B estate (just part of it). Is it close to the Kijitonyama are as far as planning is concerned? You can also zoom (if that's the only way you can see well)

View attachment 1174010
 
Siku moja niliona mmepost hii photo hapa,

IMG_1677.JPG

Lakini katika pita pita zangu nikakuta hii picha kumbe ni miongoni Kwa hizi , ila mkachagua kupost hiyo . Mnajitahidi sana kuficha mambo kumbe mnatembelea tu kichwa [emoji23]

Muratina Street
C78fnjJh.jpg

V0RSPPch.jpg

uyFmjBhh.jpg

Now if we can just tell the building owners to spruce up their buildings and we keep the streets CLEAN!!!!!​
 
Post kibera kama pako hivyo .
The fact that you are comparing Kijitonyama, an "upmarket" place in Dar (of course as per your standards) with Kibera which is a slum, only means one thing: that Kijitonyama is also a slum in its entirety
 
Nmekuambia kwann huwa huzoom hizo picha za Dar alafu unaniletea nn hapa
Eti nimekuletea nini? Of course nimekuletea picha za Dar is slum estates with plenty of dream houses thrown left, right and center in the most confused manner 😂 😂 😂
 
Yaani ukimuambia azoom ndo unamfukuza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] ila ataona tumemkomalia sana ataenda kuokota okota zingine
Zoom alaf utuoneshe slum hapo maana labda mzungu hajui maana ya slum[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kiswahili kigumu kumbe, nmekuambia zoom hizo picha na utuletee hizo slum
Eti nimekuletea nini? Of course nimekuletea picha za Dar is slum estates with plenty of dream houses thrown left, right and center in the most confused manner [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
The fact that you are comparing Kijitonyama, an "upmarket" place in Dar (of course as per your standards) with Kibera which is a slum, only means one thing: that Kijitonyama is also a slum in its entirety

Lazima utafute pa kutokea
 
Eti nimekuletea nini? Of course nimekuletea picha za Dar is slum estates with plenty of dream houses thrown left, right and center in the most confused manner 😂 😂 😂

Labda ww hujui maana ya slum😆😆😆😆👇👇👇👇👇nakusaidia tu
Mzungu anaakili nyingi sana👇👇👇👇
965C646E-2432-46BC-97E8-30D401DAEEB8.png
 
Kiswahili kigumu kumbe, nmekuambia zoom hizo picha na utuletee hizo slum

Hawezi pata slum ye anafkiri mzungu mjinga sana 😆😆😆😆😆 aweke satellite hewani asione slum dar alaf aone nairobi tu
 
Siku moja niliona mmepoat hii photo hapa,

View attachment 1174027

Lakini katika pita pita zangu nikakuta hii picha kumbe ni miongoni Kwa hizi , ila mkachagua kupost hiyo . Mnajitahidi sana kuficha mambo kumbe mnatembelea tu kichwa [emoji23]

Muratina Street
C78fnjJh.jpg

V0RSPPch.jpg

uyFmjBhh.jpg

Now if we can just tell the building owners to spruce up their buildings and we keep the streets CLEAN!!!!!​

Duh sio poa kumvua nguo saa nne asbh alaf sokoni😆😆😆😆😆😆
 
Siku moja niliona mmepoat hii photo hapa,

View attachment 1174027

Lakini katika pita pita zangu nikakuta hii picha kumbe ni miongoni Kwa hizi , ila mkachagua kupost hiyo . Mnajitahidi sana kuficha mambo kumbe mnatembelea tu kichwa [emoji23]

Muratina Street
C78fnjJh.jpg

V0RSPPch.jpg

uyFmjBhh.jpg

Now if we can just tell the building owners to spruce up their buildings and we keep the streets CLEAN!!!!!​
I can see very clean streets with paved roads and even a well maintained drainage system.
 
Back
Top Bottom