Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You all missed the point. He was trying to show you kwamba hapa ni kazi tu. From the footage, 90% of those vehicles are trailers carrying containers as well as lorries. What do you think they are ferrying? Tafakari ya babu

Kwani sisi hatukuiona post yake?????
Mbona unamuwekea maneno ambayo ye hakuyaweka. ..!!
 
Finally, we eliminated 'em motherfu*kers
out in their home ground..!!
I think, they sold the game as ugandans did..
Much respect to
Juma kaseja the lord of penalty kicks..
 
Finally, we eliminated 'em motherfu*kers
out in their home ground..!!
I think, they sold the game as ugandans did..
Much respect to
Juma kaseja the lord of penalty kicks..

Uwanja mbovu sijapata kuona lakini pele limepata mkunaji😅😅😅😅
 
wazungu wanapiga vita icho kitu wewe kwako fahari duh ni kwamba kuonesha mna magari mengi au ni upumbavu kiasi gani
Hii ni ishara kwamba Kenya biashara ni kubwa na uchumi unazalisha zaidi hivi kwamba barabara zilizo tosha miaka ya 90's hazitoshi tena.Uchumi umepanuka zaidi.
 
Unashabikia upumbavu😆😆😆 aisee munaskitisha sana jam yenyewe imesababishwa na kufungwa kwa bridge maeneo ya gilgil
Kama kupanuka kwa uchumi na sekta ya transport ni upumbavu basi wacha tuendelee hivi tu.
 
Shangai vs Nbo
Wanasema sisi sio level zao haya apo mmetoka Na ngap?
Screenshot_2019-08-05-16-27-17-1.jpg
tapatalk_1564306809071.jpeg
 
Back
Top Bottom