Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's even shameful that you depend on another country's airline to take your goods overseas. Anyway, that's none of my business. Just to remind you, hiyo soko ya horticulture Kenya ilishaiteka nyara kitambo sana. Kenya is currently Africa's leading exporter of horticultural products to the European Union and North America. Juzi pia tumetia mkataba na mchina kupeleka parachichi huko. Yani kila mnapogonga tupo already!
Rubbish, time will tell
 
When you posted that picture, your spanner boy Ichoboy (I wonder how much he's being paid by sisiemu to bash Kenya) mentioned majirani. I don't need to attend hundreds of literature classes to know what he meant by that. Secondly, you went ahead to even say that Kenya refused to allow neighboring countries to use JKIA for horticultural exports. Now you know why I mentioned Kenya's horticultural market. The moment you mentioned JKIA in your post, that's when I jumped in
Sasa unapanic nn kuskia taarifa hio au bado ile terminal 3 inakupeleka chooni kila mara😆😆😆😆😆😆
Kila jambo linalofanyika tanzabia munafaa muvumilie kwanza jamaa hajamaliza miaka 4 ila kafanya mambo unaeza sema amekaa madarakani miaka 25😆😆😆
 
Mambo mnafanya saa hii sisi tulifanya miaka ishirini iliyopita. can't you see we are way way ahead of you?
 
That shit doesn't even have cargo planes. Bado inabania za majirani! What a waste of shit! 😂 😂 😂 😂
Tunabania au tunawapa nafasi majirani wasio wanafk? Kisa hatuna direct border na ethiopia haijalishi kuwa sio majirani. Haya malalamiko ungeyaleta alivyoanza KLM sio ethiopia wala rwanda. Kija hata mzambia tutasaidiana nae kwa upande wa kusini south africa as well. Buda mazao yanayozalishwa TZ hata nchi zote za EA zikisafirisha bado hazitoshi, may be the whole SADC
 
Mambo mnafanya saa hii sisi tulifanya miaka ishirini iliyopita. can't you see we are way way ahead of you?
Miaka gani mumefanya nyinyi kwan ww kwa akili yako ulijua kutangulia ndio kufika unaeza nionesha nn kenya imefanya miaka 50 leo??? Na hamujasaidia nchi yoyote africa kupigania uhuru, leo hii nashangaa kuskia kq inamiliki ndege 3 wakat iko in service zaidi ya miaka 30 we huoni aibu?? Na nafkiri ndio shirika pekee africa limerndesha hasara miaka zaidi ya 7
 
Tunabania au tunawapa nafasi majirani wasio wanafk? Kisa hatuna direct border na ethiopia haijalishi kuwa sio majirani. Haya malalamiko ungeyaleta alivyoanza KLM sio ethiopia wala rwanda. Kija hata mzambia tutasaidiana nae kwa upande wa kusini south africa as well. Buda mazao yanayozalishwa TZ hata nchi zote za EA zikisafirisha bado hazitoshi, may be the whole SADC
Ni nafasi gani mnawapa? Ukiomba jirani yako jembe yake uendee shambani kwa sababu hauna jembe yako binafsi ni nafasi gani umempa huyo jirani kama sio kumpotezea muda?
 
Miaka gani mumefanya nyinyi kwan ww kwa akili yako ulijua kutangulia ndio kufika unaeza nionesha nn kenya imefanya miaka 50 leo??? Na hamujasaidia nchi yoyote africa kupigania uhuru, leo hii nashangaa kuskia kq inamiliki ndege 3 wakat iko in service zaidi ya miaka 30 we huoni aibu?? Na nafkiri ndio shirika pekee africa limerndesha hasara miaka zaidi ya 7
Nikuonyeshe ni nini Kenya imefanya ndani ya miaka 50? Hayuko ldc na tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Najua kanchi fulani imeshindwa kujinasua kutoka kwenye lile tope la LDC kwa zaidi ya miaka hamsini sasa
 
Ni nafasi gani mnawapa? Ukiomba jirani yako jembe yake uendee shambani kwa sababu hauna jembe yako binafsi ni nafasi gani umempa huyo jirani kama sio kumpotezea muda?
Tanzania kila kitu kina kwenda kwa mipango tumeanza na ndege za abiria na hasa tukilenga tourism na sasa iko motoo🔥🔥 na utashuhudia ndege nne mpya zinaingia dec kaa mkao wa kula alaf tunakuja kwenye ndege za mizigo sasa

Nyie wenye ndege za mizigo ikwapi faida ya kq leo miaka 7 zaidi ya kulipa madeni ya watu waliowakodishia ndege, yani aibu shirika kumiliki ndege 3 aisee 🤣🤣🤣🤣 alafu hasara iwaache salama
 
Dawa imekuingia vizuri sana. Uguza maumivu pole pole. Ukizidiwa tembelea kituo cha afya iliyo karibu nawe, if at all you live near a health facility
If you think bluffing around ni dawa si ujiponye ukichaa wako? Maneno matupu hayavunji mfupa, we shuhudia tu dim huku tukisonga mbele
 
Nikuonyeshe ni nini Kenya imefanya ndani ya miaka 50? Hayuko ldc na tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Najua kanchi fulani imeshindwa kujinasua kutoka kwenye lile tope la LDC kwa zaidi ya miaka hamsini sasa

Imefanya nn cha maana maana unemployment rate iko juu, below poverty line iko juu, debt ndio usiseme munanuka jasho la madeni, au mumefanya nn cha maana miaka 50😅😅😅😅
 
Usiaangaike kumjibu tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Imefanya nn cha maana maana unemployment rate iko juu, below poverty line iko juu, debt ndio usiseme munanuka jasho la madeni, au mumefanya nn cha maana miaka 50[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni nafasi gani mnawapa? Ukiomba jirani yako jembe yake uendee shambani kwa sababu hauna jembe yako binafsi ni nafasi gani umempa huyo jirani kama sio kumpotezea muda?
Kuomba jembe linganisha na ndege za kulease sio kusafirisha, hata tukiwa na ndege mia bado hazitoshi kusafirisha mazao yote ya TZ. kuwapa nafasi majinrani ni muhimu na hivyo ndivyo tulivyo tokea enzi za uhuru. Bila kushirikiana na majirani MSD isingepewa nafasi muhimu vile sadc. Tunatoa nafasi, tunapewa nafasi, maisha yanaendelea. Hili niswala ambalo mungiki hawawezi kuelewa kwa sababu ya unafk
 
It's even shameful that you depend on another country's airline to take your goods overseas. Anyway, that's none of my business. Just to remind you, hiyo soko ya horticulture Kenya ilishaiteka nyara kitambo sana. Kenya is currently Africa's leading exporter of horticultural products to the European Union and North America. Juzi pia tumetia mkataba na mchina kupeleka parachichi huko. Yani kila mnapogonga tupo already!
Lakin na nyie sio kwamba mna cargo plane nying za kuwatosheleza..Ni hzo Emirates Sky Cargo,KLM Cargo ,Lufanthsa cargo,Turkish cargo zinatua nairobi kuchukua na kuleta vitu
 
Slave masters' cargo
 
Lakin na nyie sio kwamba mna cargo plane nying za kuwatosheleza..Ni hzo Emirates Sky Cargo,KLM Cargo ,Lufanthsa cargo,Turkish cargo zinatua nairobi kuchukua na kuleta vitu
At the end of the day, tuko na yetu hata
Kama ni moja. Najua wenye hawana na hata hawajui watakua nayo lini
 
Sio yenu ni zile mumekodisha zinazowapa loss miaka 7 sasa zenu ni ndege 3 tu chakavu😆😆😆😆😆
 
Nikuonyeshe ni nini Kenya imefanya ndani ya miaka 50? Hayuko ldc na tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Najua kanchi fulani imeshindwa kujinasua kutoka kwenye lile tope la LDC kwa zaidi ya miaka hamsini sasa
Nenda taratibu
43% ya ndugu zako Ni walalahoi ,meanwhile in TZ View attachment 1171448
tapatalk_1564759944461.jpeg
 
Back
Top Bottom