Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio serekali pekee ina madeni mpaka wa kazi wa makuru kayaba na slum zingine zote wananuka madeni😆😆😆😆👇👇👇👇

IMG_1503.JPG
 
Wululu....unaumia mpka unajichanganya...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Usijali..najua ni eastlando ndio imekupea presha kiasi hicho...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
2.5m only kibera what about other slums au wanaishi nguruwe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Watakuambia ni dream houses. Nyinyi mnafaa tu kichapo cha mbwa ili nitoke kwenye hizi ndoto za mchana. How do you fail to plan your capital city this much? Yani nyumba zimerundikana tu bila mpangalio wowote kisha mnakuja hapa kuleta picha za kibera when your whole city is a mega slum! You think that a city is just about showing some three blue towers alone? No wonder you never show us your residential estates and concentrate just on the cbd. Hii ni aibu 👇 👇 👇 😳 😳 😳 ☹ ☹ ☹
We jamaa baada ya kuona tumefungua terminal 3 imekuuma sana umeamua ku spam uzi wetu.
 
Wululu....unaumia mpka unajichanganya...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Usijali..najua ni eastlando ndio imekupea presha kiasi hicho...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Imekupea ndo nn? 😅
 
achana na huyu Chooboy. Ninja anaargue kama dame ananyesha alafu debating skills ako nje kama meno ya mkale
Wululu....unaumia mpka unajichanganya...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Usijali..najua ni eastlando ndio imekupea presha kiasi hicho...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Bila shaka mume panic😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom