Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When it comes to estates and estate planning, Nairobi has no competition in this region

Wanajua kupost nyumba za wengine na suburbs za wengine ila wanazoishi wao ndo mwiko, kumbe wanakaa kibera na apartment za huruma lol
Alafu cha ajabu kinachoahangaza hawa jamaa badala wajisifie wanamiliki nyumba zao binafsi ata kama ni vyumba viwili ama kimoja, wao wanasifia estates za watu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu cha ajabu kinachoahangaza hawa jamaa badala wajisifie wanamiliki nyumba zao binafsi ata kama ni vyumba viwili ama kimoja, wao wanasifia estates za watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nixcie na wenzake wanaishi kwenye slum na ni vigumu kupinpoint kwasababu nairobi slums ni nyingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…