Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona kunafanana na Goma DRC?? Watu wakimbie Google
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Eti Goma! Nakuambia Dar nje ya cbd ni uchafu tu. Watashinda hapa wakileta picha za posta na karioakoo but ukiwaambia wakuletee earial views za Mitaa za Dar unajibiwa kwa matusi
 
Picha Watanzania hawapendi kuona. Wanasema tumeokota picha za Nigeria and Congo mitandaoni na kusema ni za Dar. Hiyo brt ya Congo Brazaville ni noma sana na hizo Mitaa zinapendeza kweli
 
Axle load SGR Tanzania 35 tons vs 25 tons SGR Kenya! Meaning a wagon on SGR Tanzania will carry 140 tons in comparison to 100 tons for SGR Kenya. Wap wale waliokuwa wakidai class one chinese SGR inabeba mzigo mwingi zaidi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…