danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 544
- 812
lengo la DMDP ni ilo tiari iko ela ilitengwa na ujenzi unaendelea .Hapo sawa Ila tumuimize raisi aweke hela ya kujenga barabara za cbd yetu vizuri ujenzi uzingatie njia za watembea Kwa miguu pia kama tukijenga km100 tu za cbd yetu tutakuwa tumefanya jambo la maana . wakina makonda na meya wa jiji letu hakuna kitu wanafanya bado mitaa ya cbd mingine aina rami hii kitu inaniudhi kishenzi
sisi ni kuzindua tu mpaka 2025 yani mtaomba poo
Ole wangu ,kumbe CBD ya Dar barabara zake zinakaa kama Isiolo ama mathare ambapo lami ni kidogo sana? Now you see why Dar can't be the headquarters of int'l companies like Nairobi?Hapo sawa Ila tumuimize raisi aweke hela ya kujenga barabara za cbd yetu vizuri ujenzi uzingatie njia za watembea Kwa miguu pia kama tukijenga km100 tu za cbd yetu tutakuwa tumefanya jambo la maana . wakina makonda na meya wa jiji letu hakuna kitu wanafanya bado mitaa ya cbd mingine aina rami hii kitu inaniudhi kishenzi
Hizo ni slums tu tofauti na slums za kenya ni kwamba huku maskini na wenye nafuu wamejichanganya humo humo sasa unajichekesha chekesha kuna bwana unamtega?Uswazi maana yake ni slum??? au unaforce magoli ya hewani hahahaππππ
Uchafu kama huo mtu anakuambia sio slums ni informal settlement ukiambiwa mnatumia less than 1% of your brain CPU capacity mnatoa povu,uungwana ni kukubali.Unfortunately the whole country iko na slums tupu sijui hamuoni aibu with your dream housesUswazi hoyeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1165061
Bonyokwa kuna red soilAngalia huo udongo mwekundu never kua dar hata siku moja ππππ endelea kuokota picha za google alaf ulivo mjinga zaidi unapost picha ya kibera unasema darπππππππ
View attachment 1165198
Ugly render,design gani hiyo ya kichoko.Yaani a more than 3km suspension bridge badala iwe na eye apealing inakuwa ugly hivyo?ππππππππ
Wewe nilishakuzoea ndio maana hua sipati tabu πππππππππHizo ni slums tu tofauti na slums za kenya ni kwamba huku maskini na wenye nafuu wamejichanganya humo humo sasa unajichekesha chekesha kuna bwana unamtega?
Kama sio slums basi Tzn isiwe inapima plots ili ijulikane kuwa ni aina mpya ya makazi yamebuniwa na watzn
Show me one suspension bridge in Kunyaland n I'll show u who is choko!Ugly render,design gani hiyo ya kichoko.Yaani a more than 3km suspension bridge badala iwe na eye apealing inakuwa ugly hivyo?
Bonyokwa kuna red soil
Who is Will Jason?Wewe nilishakuzoea ndio maana hua sipati tabu πππππππππView attachment 1166031
Ugly render,design gani hiyo ya kichoko.Yaani a more than 3km suspension bridge badala iwe na eye apealing inakuwa ugly hivyo?
huyo ni msomi mwenye fani ya kutafsiri maanaWho is Will Jason?
Hii comment haibadili ukweli kwamba ni poor and ugly designHeheheh maumivu yakizidi muone daktariπππππ 3km hamutawah kua nayo mpaka yesu ashuke ndio mutajenga likoni bridge
Leta ushahidi hapa unajua red soil unakuaje wewe
Punguza wivu ππππ ngoja nikuoneshe tena unaeza pata nafuu 6 lanesHii comment haibadili ukweli kwamba ni poor and ugly design
Nikuletee ushahidi can't you drive to bonyokwa kwani hukufahamu?
Hoja ni ugly designShow me one suspension bridge in Kunyaland n I'll show u who is choko!