Just because you supply a mere portion don't come and brag to us, that happens all over the EAC block. We also reciprocate the same to your country. Hii yenu sijui hua nikukosa elimu au ni ignorance tu.Chakula unachokula mchele na maize na fruits unajua yanatoka wapi????????
hehee...kamata mwizi.nadhani hajui tofauti ya proposed,site prep na excavation....mwambie ilikwama tu aridhikeDear Forum Member,
This is a fourth reminder that you still haven't submitted proof to your allegations as quoted verbatim below:
'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy
It would be of great importance for the sake of this discussion that you provide proof to your allegations.
Awaiting your positive reply.
Kind regards,
Kwelko.
Hatutaki sifa za kipuuzi mm nataka kuona picha ya foundation ya jengo la hass tower, ctaki kuskia kua munachimba,,,,wakenya mukwapi tafadhali rudini πππππππππ
Nawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaamnatulisha nini the only TZ product I have consumed ni Azam Energy Drink pekee.
umesahau mkipangiwa sukari juzi tu apa na ardhi yenu yote iyo ambayo kila siku mnaisifia...mnaifanyia nniNawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaa
Nataka kuona foundation ikijengwa sio kuchimbwa my friend usibadili mada were is foundation ya hass tower simple qns??????ππππππhehee...kamata mwizi.nadhani hajui tofauti ya proposed,site prep na excavation....mwambie ilikwama tu aridhike
we mama.. unadhani Kenya pia ukienda dukani unapangiwa viwango vya kununua vile nyi hupangiwa mpaka beer ngapi unafaa kunywa? endelea kunywa uji wa mbuyu ujaze akili yakoNawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaa
Were is the pic my friend kwanini unajizungusha wapi picha ya ujenzi wa hass tower sio kila siku unatuekea picha munachimba wapi picha sasa tuone kweli munajenga ππππππDear Forum Member,
What you want to hear or Dont want to hear is none of our business at this juncture. For the sake of your argument, please provide proof of your allegations as quoted below.
'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy.
It is also noteworthy that this conversation will not take any new turn as you are attempting to do until your allegations are well proven.
Kind regards,
Kwelko
siunajua nai??njoo ujionee na kama huijui ntakutembezaNataka kuona foundation ikijengwa sio kuchimbwa my friend usibadili mada were is foundation ya hass tower simple qns??????ππππππ
Kumbuka sukari zio basic need kwa mwanadamu unaweza ishi bila kunywa chai ila huwezi ishi bila chakulaumesahau mkipangiwa sukari juzi tu apa na ardhi yenu yote iyo ambayo kila siku mnaisifia...mnaifanyia nni
Mm sitaki maneno I need to see pictures ya development ya hass tower leo nataka tuone ujanja wa wakenya uko wapi so mutuambie miaka yote munachimba, wapi picha tuone at least foundation sitaki kuona floors wapi foundation tafadhali wakenya saidianeni hata muibe ya sehemu nyingine muhamishe plz πππππDear Forum Member,
What you want to hear or Dont want to hear is none of our business at this juncture. For the sake of your argument, please provide proof of your allegations as quoted below.
'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy.
It is also noteworthy that this conversation will not take any new turn as you are attempting to do until your allegations are well proven.
Kind regards,
Kwelko
Ikwapi sasa picha uliosema kua ujenzi unaendelea nataka kuona foundation nilitegemea kuona at least 15 floors yote ctaki nataka kuona foundation zikijengwa tu plz saedeque kwann unaruka kakaππππsiunajua nai??njoo ujionee na kama huijui ntakutembeza
nonsense....unajichanganya sasa.haya tuambie ni chakula gani tumepangiwa na utupatie iyo proofKumbuka sukari zio basic need kwa mwanadamu unaweza ishi bila kunywa chai ila huwezi ishi bila chakula
Unamhurumia nani???? Jihurumie wewe na wenzako kua sasa munaanza kupimiwa chakula hali mbaya kenyawe mama.. unadhani Kenya pia ukienda dukani unapangiwa viwango vya kununua vile nyi hupangiwa mpaka beer ngapi unafaa kunywa? endelea kunywa uji wa mbuyu ujaze akili yako
so you think Kenyans don't own land? And fooled you owning land means more agricultural productivity. Hii ushamba mkonayo is very alarming.Nawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaa
Were is the pic my friend kwanini unajizungusha wapi picha ya ujenzi wa hass tower sio kila siku unatuekea picha munachimba wapi picha sasa tuone kweli munajenga ππππππ
Wapi picha ya maendeleo ya ujenzi wa hass tower leo watanzania wanataka kuona wapi mutatokaπ
i think you dont know what you are talking about...i said excavation is going on yenye unataka iishe kwa wakati unaotaka wewe.nashindwa kuelewa kama uko na any knowledge ya engineering kwa mambo ya structures ama civil?ata ikachukua miaka mia I care less,they have their reasons but the bottom line is,the project wont stall just because you said soIkwapi sasa picha uliosema kua ujenzi unaendelea nataka kuona foundation nilitegemea kuona at least 15 floors yote ctaki nataka kuona foundation zikijengwa tu plz saedeque kwann unaruka kakaππππ
Ye amekwambia kulingana na habari aliyoiskia kua kenya upatikanaji wa chakula umekua mbaya zaidi kias kwamba serekali inataka kuingilia kati ugawaji wa chakula kwa kipimo elewa mantiki kwanzanonsense....unajichanganya sasa.haya tuambie ni chakula gani tumepangiwa na utupatie iyo proof