Hawaheshimu mazingira, character ya kichina hiyoHapo si kama Tz Sgr eeeee, wakenya hayo ma cement pembeni utadhani mnajenga ma pyramids bora mnge make hela mpige kitu cha electric, oneni wenzenu WA South kitambooo na Tz, muulizage cku nyingineView attachment 1151597View attachment 1151599
Hii ni Mtwara?
Wivu kitu mbaya sana 😁😁Hii ni Mtwara?
After Durban South Africa ni Mombasa Kenya, Sasa Nani mwenye wivu? Hebu niambie Dar na Port zote Tz zinashusha mzigo kiasi gani afu nikuonyeshe ya Mombasa.Wivu kitu mbaya sana 😁😁
Hongereni watani. Mji wa Dodoma na maendeleo hayo yote ukawekwa Kenya utachezea Nambari 6-7 hapo ila mnajaribu. Keep it up guys.
Akikujibu uniambie tadadhaliAfter Durban South Africa ni Mombasa Kenya, Sasa Nani mwenye wivu? Hebu niambie Dar na Port zote Tz zinashusha mzigo kiasi gani afu nikuonyeshe ya Mombasa.
Hongereni watani. Mji wa Dodoma na maendeleo hayo yote ukawekwa Kenya utachezea Nambari 6-7 hapo ila mnajaribu. Keep it up guys.
Hebu.taja hizo top 5 in Tz6-7 compared to which towns in Kenya?
Besides, Kwa Tz Dom isn’t yet to make into top 5
mtafika huku kwelihttps://www.youtube.com/watch?v=CuOsy0pmeDU
THIS TOWN IS EQUAL TO MOMBASA CITY..Dont you have class A infrastracture in TZ?This is Kariakoo ward, I excluded the CBD so that I bring you the perfect Match.
Dar ni Sawa na Nai + Mombasa + Kisumu.
THIS TOWN IS EQUAL TO MOMBASA CITY..Dont you have class A infrastracture in TZ?
Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.View attachment 1150971View attachment 1150972
Hongereni watani. Mji wa Dodoma na maendeleo hayo yote ukawekwa Kenya utachezea Nambari 6-7 hapo ila mnajaribu. Keep it up guys.
haibadilishi the fact kuwa mna treni za karne ya 19Alaaa ...kumbe uliskia
I have Explored Mombasa Town in and Out,
Apart from those Massive Tuk tuk na Ile harufu ya Uchafu hamna kitu pale,
The best street in Ms is Moi Avenue, noisy 24/7 and Na Makahaba na mashoga yamejaa pale..
View attachment 1151852View attachment 1151853View attachment 1151854