Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

THIS TOWN IS EQUAL TO MOMBASA CITY..Dont you have class A infrastracture in TZ?


I have Explored Mombasa Town in and Out,
Apart from those Massive Tuk tuk na Ile harufu ya Uchafu hamna kitu pale,
The best street in Ms is Moi Avenue, noisy 24/7 and Na Makahaba na mashoga yamejaa pale..
b93bc8f1-6e21-423f-a17f-677efcddd860.jpg
9b78b29f-4b9c-42cd-8d06-b907f5365ae7.jpg
a1b7e5ff-c020-458d-bb7b-afd76b907d18.jpg
 
Alaaa ...kumbe uliskia
Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.View attachment 1150971View attachment 1150972
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom