Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na bado vile viel wankopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walipe wapi na wakati hawajaanza kukopa leo...kwn unafikiria 200% lilifikaje ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]form ni kukopa brathe...

Na bado japan wataendelea kukopa hadi yesu arudi...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Narudia tena maneno yangu japan is the 4th powerful country interms of economy in the world yani ww usijifananishe kabisa na japan u know y? Coz japan ni developed country na ww ni developing country wenzako hawazungumzii njaa na majiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Na bado vile viel wankopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kukopa sio tatizo tatizo ni pesa ya kurudishaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ni sawa na kenya imekopa sana na tena mbaya zaidi imekopa expensive loans na hakuna ilichofanya cha maana zaidi ya pesa zinaliwa na wachache huku tukishuhudia miradi hewaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sasa mbaya zaidi ni pale world bank inapowaonya na hata IMF iliwaonya pia
 

Tofaut ya loans kati ya developed countries na failed state ni hii hapaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
komora096 umekaa anawaza kujifananisha na japan seriousπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† japan wapo mbele yako ww miaka 300, nchi uchumi wake wa nne duniani, toka japan au marekani wameanza kukopa ushawah sikia uchumi wao umeyumba au watu wanakufa njaaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ na huyo mjapan ndio anaekusaidia pesa za budget yako na baadhi ya miradi bure eg jica

Mkenya ni mtu anaefaa kusaidiwa mawazo yani nimecheka sana leo failed state inajifananisha na developed country
 
Na bado vile viel wankopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio tofaut ya japan na kenyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡ 381b zimeliwa na wachache na unaweza kuta ni loan pia

 
Ukiskia tofaut ya developed countries na failed state ndio hiii

Huyu ndio japanπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡










 
Hahaha ichoboy uko wap ule bia sio kwa picha hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…