Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mbukinya naona umeamua kwenda google kutafuta msaada
Kwetu huku bongo hiace zimebaki kuwa history yaani nyie huwa mnakaa nyuma yetu always
Eti google...bwahaha...kwanza vile vya tanga horo horo na tanga mombasa vimechakaa kinyama...we utamdanganya nani
 
Battle ni kenya vs tanzania
Si kenya vs tanganyika

Unapoizungumzia tanzania ni tanganyika na zanzibar
Ukiizungumzia tanzania huwezi kui exclude zanzibar labda tu uwe hukuwahi kwenda shule
Umeelewa mbukinya
Uzi ni wa tanzania bara vs kenya...km mngelikuwa mnataka kuchanganya mpka zenji...

Ongezeni neno muungano
 
Wapi wewe, mbona nakupakuaga mara kwa mara tu.
 
Msikieni huyu mbunge wa kenya joto la magufuli linamuunguza katoa maneno machafu kuhusu tanzaniaπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰

 
on the contrary, Mwenzako niliyemtaja ndio wivu imemfika kooni. Kuna picha moja ya Nairobi ililetwa hapa inayoonyesha miti kila upande akawa mwepesi sana kusemakwamba Nairobi ni mzuri na hakuna kilichoko ndani. Ndio maana nikalinganisha na hiyo picha ya Dar inayoonyesha sehemu kubwa kuwa na miti na nikaamua kumuuliza Kama Dar pia ni msitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…