Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna walia tena mzee baba....au imeingia bahali pake
 
Hta ushoga pia ni technology...unaeza ukaukumbatia na kujivunia pia
ushoga umeingiaje katika maongezi haya? au ni topic unayotaka kudiscuss. Unajua kuna kitu kimoja nilijifunza nilivyokuwa na rafiki yangu aliyekuwa in the closet. Sikuwahi kufahamu kuhusu his sexuality lakini kila wakati alikuwa anabring up the lgbtq topic. Kila wakati hata kama topic tunayozungumzia haiendani. Niligundua pale alipocome out to everyone kwani lengo lake ni kufahamu watu watamfikiriaje watakapofahamu sexuality yake. Usijali kama wewe ni shoga tulia tu na siri yako kwani upo kwenye nchi ambayo watu hawako tolerant towards people like you.
 
Duh!!yani mpka una urafiki na hao jamaa santa sana...

Lkn km ni mambele mbna jamaa wanajisema tu...km hujawai kwenda hko au hata kupata nafasi ya kujumuika hao jamaa utayaona mageni...bt kw wanaowajua tabia zao mbna hawashtuki..

Labda hku kwetu...mi ukiniambia hvo hku kwetu(afrika) kwnza unakula kibao,mtama kisha maelezo badae ..unanipa issue hzo nikusaidieje
 
Hiyo inhospitality lazima itakuwa kwa aquatic species na hao flamingo wamejifunza (evolve) kuwa hakuna kima atakae sogelea mayai yao ndiyo maana wanazaliana hapo.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
hiyo dp yakoinanieleza kuwa wewe huipenda mombasa sana na najua huko wapo wengi mno ndugu zetu. Yawezekana huwa ma kwa mara unakula mtama ukiwa huko, not my problem really.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…