Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mbongo anaweza kupanda hivyo vipanya
Huku tz vilipigwa marufuku zamani sana huku bongo hivyo vipanya huwa ni ambulance
Lkn hua mnapanda hz hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ila wakenya ni wachafu aisee.hebu tazameni Mitaa inayozunguka hayo majengo
Acha ujinga. What do you expect of a construction site? Unatarajia mahali ambapo majengo sita ya ghorofa yanajengwa pawe pasafi?
 
Hueleweki unataka nini au unamaanisha nini, yaan unajitekenya na kujichekesha mwenyewe
shida nin sasa kwenye picha hizo!?
We kwn unaona nn katika hzo picha....fafanua kidogo nione uwezo wako wa kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…