Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,470
Hey old witch, picture speaks louder than words. All these towers stands above 30flooors.Nakuuliza ww ndio ulibadilisha page yao ya avic ukaeka 30[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hey old witch, picture speaks louder than words. All these towers stands above 30flooors.Nakuuliza ww ndio ulibadilisha page yao ya avic ukaeka 30[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Usione aibu kisa leo nimekutoa makamasi kwenye over 30floors vumilia tu plz💉💉💉Haya basi imeshinda. Next, tallest building in EAC ni gani ambayo ni over 41floors...jibu vile ulijibu ya 30 floors.
Nimekuuliza swali ww ndio ulibadilisha page yao ya avic ukaeka 30😆😆😆😆Hey old witch, picture speaks louder than words. All these towers stands above 30flooors.View attachment 1138402
Nimekubali Babaa Sindano imeingia Hadi kwa mfupa.Usione aibu kisa leo nimekutoa makamasi kwenye over 30floors vumilia tu plz💉💉💉
Nchi imeanza kujengwa just 10 yrs inawatoa udenda marakoni😆😆😆
Leo nimecheka sana kuona over 30 tumekanyaga pamoja na avic kuokoa jahazi lakini wapi 😆😆😆😆 na hapo mshukuruni sana mchina 😀😀😀😀Nimekubali Babaa Sindano imeingia Hadi kwa mfupa.
Sasa jibu swali langu, je ni building gani ndefu EAC Tena zaidi ya 41floors?
Picture speaks louder than words and writings, show us 40floors here.Mm nakutag na TPA 40 floors[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]
![]()
DAR ES SALAAM | Tanzania Ports Authority HQ | 40 fl|162m...
Tanzania Ports Authority HQ|40 storey|Dar|proposed This is one of the proposal for TPA HQ. there could be other proposals.www.skyscrapercity.com
Nimekubali Babaa Sindano imeingia Hadi kwa mfupa.Leo nimecheka sana kuona over 30 tumekanyaga pamoja na avic kuokoa jahazi lakini wapi 😆😆😆😆 na hapo mshukuruni sana mchina 😀😀😀😀
Nimekuuliza swali ww ndio ulibadilisha page yao ya avic ukaeka 30[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hongera umekuja kuwasaidia wenzio😆😆😆😆😆😆😆Eee ni mimi.
Kwa akili yako unaona hapo ndipo imeanzia tena TPA imejengwa pembeni mwa bahari kuna bonde kubwa sana hapo kwenda chini😆😆😆😆😆Picture speaks louder than words and writings, show us 40floors here.View attachment 1138406
Asante kwa kukubali kua sindano imekita sehemu husika👏👏👏💉💉💉Nimekubali Babaa Sindano imeingia Hadi kwa mfupa.
Sasa jibu swali langu, je ni building gani ndefu EAC Tena zaidi ya 41floors?
Ni ya 33 floors + 7 imaginery ones.Picture speaks louder than words and writings, show us 40floors here.View attachment 1138406
N
Ni ya 33 floors + 7 imaginery ones.
Wacha Sindano ikuingie pia kwa kujibu swali sio kukwepa na emojis.Asante kwa kukubali kua sindano imekita sehemu husika👏👏👏💉💉💉
Leo nimekushika makende, danganya watoto na sio sisi.Kwa akili yako unaona hapo ndipo imeanzia tena TPA imejengwa pembeni mwa bahari kuna bonde kubwa sana hapo kwenda chini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sina hakika Ila sio chini ya 150MPPf iko na how many metres?
Upande huu unaouona uko juu barabarani. Upande wa baharini jengo limeanzia lower levelPicture speaks louder than words and writings, show us 40floors here.View attachment 1138406
I have just given him anachotaka kusikia... Sindano imeniingia kwa mfupa...huoni vile amefurahi Kama mtoto amejua kuendesha baskeli.This ichoboy guy is possessed, huwa anapinga hadi vitu obvious that doesn't arguments. Wanatami sana kuhave 40+ floors building.