Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna dar lux wakajenga kitu chao...wacha wivu...we kubali mna book ndani ya basi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwn ni dala dala
 
Sasa nenda kaangalie kama abiria wake wanaondokea hapo au lazima waingie stand kwanza
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]mwenzako kaboresha huduma wewe bado unaumwa...jamaa anapiga hela kiulaini...hao ndo tunawaita wafanyibiashara wenye maono
 
Umeshaziona zinazotoka Tanga kwenda Dar? Tanga kwenda Arusha? Dar kwenda Arusha? Dar kwenda Nairobi? And viceversa?
Tahmeed basi zake kali zote ana launch mombasa nairobi...wacha kupingana na ukwel
 
Bila shaka umekasirika bro[emoji38][emoji38][emoji38]
Wuhuhuuu!!!umeshindwa kuleta...naona ulienda google ukakosa ndio umerudi na huu utumbo...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tafauti ipo wapi hapo? Kwanza Tanzania gari zote kali.
Wacha nikujibu kutokana na hyo picha yako...manake naona wataka ubishi...

Ya mombasa daresalam naona iko na WI-FI...mbna la arusha lipo lipo tu
 
Tahmeed basi zake kali zote ana launch mombasa nairobi...wacha kupingana na ukwel
Hahahahaha, kwasababu hujatoka nje ya Kenya, na huwa vyombo vyenu vya habari vyote vinawajaza ujinga, vuka mpaka uje isafishe macho wewe, Kenya haina buses za kushindana na Tanzania. Hebu taja kampuni moja la buses huko Kenya lenye hadhi ya Tahmeed.
 
Fungua uzi...
 
Wacha nikujibu kutokana na hyo picha yako...manake naona wataka ubishi...

Ya mombasa daresalam naona iko na WI-FI...mbna la arusha lipo lipo tu
Sasa hiyo ni Mombasa Dar, bado ni Tanzania, wewe ulisema Mombasa Nairobi ndio anapeleka gari nzuri, vipi kampuni la Tanzania lithamini Kenya, wakati ajali kati ya Mombasa Nairobi zimezidi sana?
 
Sasa hiyo ni Mombasa Dar, bado ni Tanzania, wewe ulisema Mombasa Nairobi ndio anapeleka gari nzuri, vipi kampuni la Tanzania lithamini Kenya, wakati ajali kati ya Mombasa Nairobi zimezidi sana?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…