Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaimba bus stage na wakati hta waiting lounge hamna...ni kukaa kwa ma benchi hku ukipigwa na vumba na moshi wa mabasi
Nioneshe bus stage ya nairobi amabayo jubilee wazee wa tano tena imejengaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ondoa uchafu hapa. Picha za stendi ikiwa na mabasi na abiria hamna Kama nilivyo tabiri?? White elephant [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Stendi zao zote ni empty...labda ile ya dar tu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]mpe hyo
 
Nioneshe bus stage ya nairobi amabayo jubilee wazee wa tano tena imejenga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Jubilee kwn siku hz wanamiliki mabasi[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Leta ushahidi kua lamu port ni kubwa kuliko mtwara port wachana na dar itakupasua maini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Basi wajiona umeongea point ..kumbe ni pumba tu[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…