Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ask kenyatta budaaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alieuza nchi kwa wachina
I thought it was for free ama ni kusoma hujui? Afu sina namba ya Kenyatta so fanya hivi, uniulizie kea Magu amepokea shillingi ngapi za middle income Kenya?
 
Hawa ni wakulima was mdomo tu, unafikiri kinyesi, utapiamlo na nyama za zeruzeru wanabugia kwa kutaka?
 
Wameomba wauziwe sasa niuamuzi wetu kuwauzia au kutowauzia ni
Hyo ni serkali yenu ndio imeandika tu.eomba...ila kiuhalisia nyangau hawez omba kitu chenye anakitolea pesa...ovias wanataka kununua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Muliomba ni nyie sio sisi [emoji38][emoji38][emoji38] so tutaamua tuwalishe musife na njaa au tuwaache mufe
Nyangau haombi....jiwe akatae kuuza...sgr tu imekwama....bwahahaaaa...limeni nyangau wanunue....

Km tunavyo process bidhaa zngine na kuwauzia hko
 
Hahahahaha, Hahahahaha, is craniotomy the same as Surgery of the brain?, that is a minor surgery at Muhimbili Orthopedic Institute(MOI).
 
Hahahahaha, Hahahahaha, is craniotomy the same as Surgery of the brain?, that is a minor surgery at Muhimbili Orthopedic Institute(MOI).
Bwahahahaa!!!imekuuma kuona kenya kila county iko na referral hospital...kemu tuletee ya kagera tuione....mbna ugatuzi raha jaman...mpka turkana,mandera,tana river...kabla ugatuzi hzo county zilikuwa nyuma kishenzi...
Bila ya kuisahau lamu,kwale na zngnezo...

Bukoba vp nako
 
unafaa unionyeshe heshima. Uko honored kuhave a dialogue na mimi. Unaongea na equal wa Kasparov na akina Newton
Usiseme Newton Ni Sir Issac Newton, Yule hakua mwanasayansi wa kawaida kwanza amenitesa sana kwenye Physics na minondo yake isioisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…