Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni sawa..labda siku za usoni tender nitapata tu. Ninachosisitizia ni eti mnafadhili kwa pesa za ndani.

There is no shame in borrowing to finance a project..its a shame on the other hand to be fed propaganda and actually believing it.

Lakini kama kweli mnafadhili wenyewe heko kwenu.πŸ‘
 
Duh!!sijui nikupe nn walai...ume wamada kabisa
 
Enheeee!!!tumewazidi barabara,umeme,literacy level,niendelee
Taja mradi mmoja ambao, uliofanywa na GDP yenu wenye thamani ya $1B. Hahahahaha, endeleeni kuimba GDP, pesa yote mnagawana mishahara, na inayobaki inaishia katika mifuko ya wakikuyu, makabila mengine yanaishia Kibera.
 
Hta kikwete pia mlisema hvo hvo...magu nae kafikiria ni rahisi...hku gap linasonga tu...
Unajua komora sijajua rika lako lina range wapi BT mimi ka mtz najua tulipotoka na aina ya uongozi tuliokua nao... Tz ni nchi yangu na naishi tz so najua uwezo wa nchi yangu kama tungeamua kuwa serious toka zamani...
Napata nguvu ya kupaza sauti na kuona mwanga maana atleast tumepata mtu anajali Mali za nchi hii na kajitoa kwa dhati, hilo kwetu ni ushindi tayari.. Haijalishi tutatumia muda gani kufika tutakako Ila tunashukuru Mzee anainstall system ambayo hata nyie jirani mtaanza kuona faida ya Mali mlizokua mnatucheka tuliposhindwa zitumia kwa busara.
We're in the right track...
 
Maintenance sasa zimewashinda wameanza kupeleka nje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Utaskia wanakuja hapa wakikwambieni wao wanazo barabaraπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…