tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hii view ni motoMwalimu nyerere foundation square towers give Dar an out of this world vibe.
View attachment 1121958View attachment 1121960View attachment 1121961View attachment 1121963

Hii view ni motoMwalimu nyerere foundation square towers give Dar an out of this world vibe.
View attachment 1121958View attachment 1121960View attachment 1121961View attachment 1121963

Lazima waweke spire, it's part of the design si unaona wameanza kushughulikaMnf sioni dalili za spire
Kumbuka Upande Wa Pili Kuna Kambi Ya Jeshi MkuuLakini pia nadhani kuna haja ya kuandaa ideas halafu zifikishwe kwa wahusika, kwa mfano hili uliloongea mkuu ni point kubwa sana coz kama uliifuatilia project ya New Kigamboni inafafanua kwamba Jiji la kitalii, kwa maana hiyo that Idea is quiet cool, lkn shida pale ni lile li ferry maji yanachafuka n bad smell too, how will that be solved? Halafu pia nime note humu ndani kuna watu wana idea kubwa sana big up Tz



View ya Kiume hiyoooooo, Dar is Dar View attachment 1122096
Mzizima towers?Wale wajinga pale azikiwe sijui wanafanya nini mwaka wa tatu huu![]()
YahMzizima towers?
Haha ule mradi unasuasua Ila ukiisha patakua babkubwa sana
aisee ni hatari,,mambo ni mazuriKuna tangazo limetolewa kwa wakazi vingunguti wenye nyumba karibia na reli maeneo ya kiembembuzi kwenye barabara inayoelekea machinjioni kutokea nyerere road
Kuwa nyumba zao zitabomolewa ili kupisha ujenzi wa flyover ambapo gari zitapita juu halafu bullet train itapita chini kisha kukutana na viaduct eneo la buguruni ambayo ujenzi wake ulisha anza kwa kuchimba shimo la kusimika nguzo
Leo waturuki walikuwa wakipima jinsi flyover itakaa
Soon dar itakuwa ni home of flyovers
yaani wapo slow sana hadi kero
Nilikuwepo jana huku mkuuKaribu-Kili Fair Arusha View attachment 1122240
10 billion viewNilikuwepo jana huku mkuu
Maendeleo ya Ubungo Flyover
View attachment 1122296
Dec 2020 tunapita juu tu hapoMaendeleo ya Ubungo Flyover
View attachment 1122296
hiyo imekaa vyema kwa kweliThey are coming getting JPM seated and relax