Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
1,926
Points
2,000
Walker255

Walker255

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
1,926 2,000
Mbona hakuna hata mmoja aliyeenda kuokoa jahazi Dusit kwenye terrorist attack? Ni that white British guy aliyeiokoa Kenya nzima siku hiyo, military yenu ilikuwa imekaa nje kama waandishi wa habari tu. Hapo ni ammo na uniforms ndo zinadefine jeshi lenu sio ubora wa kupigana wala technique zozote lol
 
stonembush

stonembush

Senior Member
Joined
Mar 27, 2019
Messages
131
Points
225
stonembush

stonembush

Senior Member
Joined Mar 27, 2019
131 225
Mbona hakuna hata mmoja aliyeenda kuokoa jahazi Dusit kwenye terrorist attack? Ni that white British guy aliyeiokoa Kenya nzima siku hiyo, military yenu ilikuwa imekaa nje kama waandishi wa habari tu. Hapo ni ammo na uniforms ndo zinadefine jeshi lenu sio ubora wa kupigana wala technique zozote lol
Hio post ongeza Hunger, corruption, tribalism, kibera ....,
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
33,947
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
33,947 2,000

Forum statistics

Threads 1,307,038
Members 502,311
Posts 31,600,119
Top