RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,879
- 129,898
Zile ambazo Wakenya wanaringia 'estates' ndio hizo zinaanzia hapo Fire mpaka kule Palm Beach
Zile ambazo Wakenya wanaringia 'estates' ndio hizo zinaanzia hapo Fire mpaka kule Palm Beach
😆😆😆😆 mzungu chota pesa upeleke kwenu👏👏👏👏👏
Mapovu salama😆😆😆👇👇👇
😆😆😆😆😆hapo ilipo ni marhemu mtarajiwaWameanza majungu wawarudishe Wakenya tuone kama KQ will survive for a year! Naikuni na mwenzie brought KQ to current mess!
👏👏👏👏👏
Cbd ya Nairobi ni kipande kidogo namna hiyo 😂😂Hawawezi bila filter CBD yao hii hapa😆😆😆😆👇👇👇👇View attachment 1104537View attachment 1104538
Lo wamemkasirisha Ndinda 🇹🇿
Lo wamemkasirisha Ndinda![]()
, Check kitu raw file hilo, litapita Lightroom kidogo, na kubandikwa hapa. Imagine hiyo hand held , tripod ingeua kabisa.
yahZile ambazo Wakenya wanaringia 'estates' ndio hizo zinaanzia hapo Fire mpaka kule Palm Beach

na kuna zile za shekilango mpaka urafiki
chief ni noma u kill it、 sijatoka kupiga picha siku nyingi sana , Leo nimetoka na sijabeba Tripod nimechemka
, Check kitu raw file hilo, litapita Lightroom kidogo, na kubandikwa hapa. Imagine hiyo hand held , tripod ingeua kabisa.
View attachment 1104947
😆😆😆😆 mzungu chota pesa upeleke kwenu👏👏👏👏👏
Mapovu salama😆😆😆👇👇👇
Unamjua mpaka Naikuni. naona uko addicted na KenyaWameanza majungu wawarudishe Wakenya tuone kama KQ will survive for a year! Naikuni na mwenzie brought KQ to current mess!
WB wanafanya vitu hapowangekuja wakafanya vitu hapo bonde la
Wangekuja wakafanya vitu vya kufa mtu hapo bondeni msimbazi
Wana hali mbaya sana hawa watu, hakuna makazi duni mengi namna hii concentrated in one place in Tz.
Watatii, very soon.Kwanza angalia nyumba zilivopangwa budaa![]()
Hivyo vimnara huwa vina kazi gani?