Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hiyo road ya sam Nujoma sio tu imeacha reserve katikati lakini ndo road pekee nzuri na imejengwa vzur bongo nzima ukiacha approach za daraja la Nyerere kigamboni kwingine huko ni rubbish tu,ko mm nashauri tu
Huo ni mtazamo wako tu, mimi barabara zinazopita mtaani kwangu ndiyo naona nzuri zaidi zinakiwango halafu wameweka na taa na sehemu za watembea kwa miguu. Vizuri ukatoa ushauri bora, sasa wewe unashauri Dodoma wajenga kama Thika rd! Yani wachore "BRT only" kwa kutumia rangi wakati Dar hiyo BRT imesha jengwa na mbinu zote tunazijua. Kwenye ishu ya mass transport hapa E.A Tz ndiyo case study, Nairobi barabara hazina ata bus stops achilia mbali intra region bus stops. Wewe baki na ushauri wako au upeleke Somalia
 
Kumbe renderπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kuja utuoneshe wapi GDP ilipo[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]

This is malicious,I have been to budalangi on several occasions and I have never seen a school like this one . Budalangi is the only constituency in the former western province that there is competition for life style I don't think if they can allow this to be in their boundary.
 
Hatorudi tena na akirudi atarudi na id mpyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Alikua nayo jamaa mmoja anaitwa edward wanjala alikua analeta picha za nchi zingine anakwambia nairobiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Umenikumbusha huyo jamaa Alikuwa Mpuuzi kweli Anaokota picha akizani sie wajinga
tulipo anza muumbua Akapotea
 
Ninyi wa posho mbaya na kitu kikubwa ,mmesaidia maskini vipi ? Au kuwasaidia kwenu ni kuwasukuma huku wawe ombaomba?.
Ombaomba ni wenu sema munakwepa aibu kwa marekani kuonekana ni MLDC alaf hohe haheπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Chukua dawa ukapumzikeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…