Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema hamna si ati mliondoa, kama mliondoa mbona mnajenga tena?



Hapo kwenye junction zamani kulikuwa na roundabout kubwa ila mwaka 1992 waliiondoa na kufunga taa za barabarani baada ya kuitanua Upanga road na kuibadilisha jina kuwa Ali Hassan Mwinyi. Hiyo barabara iliyokuwa blocked (zamani hapo tulikuwa tunapaita "Peugeot") ulikuwa unaweza nyoosha mpaka Azikiwe st ambapo napo kulikuwa na roundabout nyingine.
 
Biggest mall in Kenya 3D satellite images
1.TWO RIVERS




2.GARDEN CITY



3.THE HUB KAREN


4.THE JUNCTION



5.VILLAGE MARKET


6.SARIT CENTRE



7.WESTGATE



8. GALLERIA



9.GREENSPAN



10. BUFFALO MALL,NAIVASHA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ