Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie...ichoboy asikudanganye na hzo picha zake za filters...tangu 2017 anatuma hzo tu...hana jipya...dar imejaa shanty houses...hemu mwambie akuletee middle class estates na majina yake ukajionee mwenyewe kw google earth...utacheka nakwambia...
na akikuletea middle class estates kw majina...we nitag nije nikusaidie kucheka...msee anatuma mpaka beach na mahoteli...
tena hzo picha alizokuletea hapo...kuna mpka zile posh suburbs za kwao...
 
the only football club spokesperson in east africa who has an instagram verified badge.
f9dec69023a4990ec0585d6044a3f4b8.jpeg
 
Unaleta statistics za 2014? Wakati kutoka kutoka kipindi hicho mpaka sasa Tanzania imejenga zaidi ya kilometers 5000
Sasa wakati ndani ya miaka hamsini tangu mpate Uhuru ndio mumejenga 6000km sasa unataka kuniambia kwamba chini ya miaka mitano mmejenga 5000km!!! Enda ukawadanganye watoto wa chekechea sio watu wazima kama sisi. Hebu leta dhibitisho kwamba kutoka 2014 hadi Leo mmejenga 5000km.
 
Nicxie...ichoboy asikudanganye na hzo picha zake za filters...tangu 2017 anatuma hzo tu...hana jipya...dar imejaa shanty houses...hemu mwambie akuletee middle class estates na majina yake ukajionee mwenyewe kw google earth...utacheka nakwambia...
na akikuletea middle class estates kw majina...we nitag nije nikusaidie kucheka...msee anatuma mpaka beach na mahoteli...
tena hzo picha alizokuletea hapo...kuna mpka zile posh suburbs za kwao...
Mtanzania in mtanzania tu waelewe. Ukimtajia Google earth utarushiwa matusi ya ajabu kwa sababu wanajua huko kuna ukweli ambayo haufichwi na filters. It's all laid bare for the naked eyes. Jana nilimetea aerial photos za mitaa za kawaida sana Nairobi Kule maeneo ya eastlands Naye kwa hasira akatuma posh estates za dar kulinganisha na mitaa kama buru buru, South b, na nyayo estate niliyoleta Jana. I had to ask him what will he post nikianza kuleta picha za posh estates za Nairobi. Sikuona jibu lake.
 
Does that mean they don't keep data of all road projects they've work on in kms? Dogo, danganya mwingine
Sasa unabisha nini wakati roadsfund.go.tz kazi yako ni kushughulikia miradi ya barabara inayofanyika, hata jiana lake "Roads fund" linajieleza.
 
tena narudia...wasikudanganye...wako kw denial...hta ukileta statistics za tz...utawaskia wakikwambia hzo si za sai..ni za miaka kumi iliyopita
Always living in denial. Yani kwao kila kitu ni ya 90s hadi unaanza kushangaa kwani are they living in 2100? Ukileta data za Kenya to prove a point, wanasema in za kupikwa. Ukileta data yao to prove a point, wanakuambia i za 90s kisha matusu juu yake. Viumbe vya ajabu sana. Kuna mmoja tayari ashanitusi hapo juu!
 
They do but they are not online. BTW mimi siyo dogo.
Na hizo takwimu wamezitoa wapi? And when you say they are not available online yet they have a website with information on data inside what do you mean? Pole kwa kukuita dogo
 
Mtanzania in mtanzania tu waelewe. Ukimtajia Google earth utarushiwa matusi ya ajabu kwa sababu wanajua huko kuna ukweli ambayo haufichwi na filters. It's all laid bare for the naked eyes. Jana nilimetea aerial photos za mitaa za kawaida sana Nairobi Kule maeneo ya eastlands Naye kwa hasira akatuma posh estates za dar kulinganisha na mitaa kama buru buru, South b, na nyayo estate niliyoleta Jana. I had to ask him what will he post nikianza kuleta picha za posh estates za Nairobi. Sikuona jibu lake.
Nikifugua google earth first thing nairobi naona slums ka mia hivi sa sijui unaongea nini
 
Back
Top Bottom