Unaposema kwamba ni kabla ya BRT unamaanisha hizo picha sio za Dar anymore au unamaanishaje? Walikuwa wanajenga brt au walikuwa wanajenga pia nyumba zilizoko karibu na pia kufanya planning? Kuna picha nilileta hapo imecapture brt lakini ukiangalia mazingira inayozunguka hiyo brt ni uswazi tupu. Has brt changed the way dar looks in terms of estates and planning? Absolutely not. Najua hii kelele yote mnapiga hapa ni kwa sababu ya uzalendo ila ukweli itabaki palepale. Naona mwenzako kashakimbia kuleta picha za mitaa za kifahari za dar kulinganisha na hizo mitaa za mwananch wa kawaida wa Nairobi ambayo ni maeneo ya Eastlands. Nikianza kuleta za Spring Valley, Kyuna, Karen, Hurlingham, Lavington, Muthaiga, Gigiri, na nyinginezo hapa kutakalika kweli?