Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You think that using filters will change the reality on the ground? This is dar in its nakedness. This is the same picture without filters. Halafu nashangaa sana sewage treatment plant imejengwa katikati ya eneo la makazi. Hui Dar yenu yatisha!!! Picha ya NNE kutoka chini umejaza filters Ila ukweli ndo hii hapa chiniView attachment 1068704
Hio picha hapo ni zanzibar na sio dar au unabisha😆😆😆😆
 
Screenshot_2019-04-11 African Edutainment Company Ubongo Wins Next Billion EdTech Prize.png

Source Forbes
 
Kila baada ya masaa anafungua barabara magu taratibu plz👇👇👇👇

Kuna siku niliwaambia Tanzania ina kilometres nyingi za barabara ya lami kuliko Kenya wakabisha, kule Tabora, Singida, Kigoma kuna zaidi ya kilometers 2000 zipo tayari time yoyote Magufuli ataenda kuzindua na bado kuna nyingine ataweka mawe ya msingi.

AirTanzania new places

Pole kaka
Kenya - 9200 km
Screenshot_20190412-100531.png

Tanzania - 7600 km
Screenshot_20190412-101048.png

Namba mtazidi kusoma. And Tanzania is almost twice the size of kenya
 
Back
Top Bottom