Nisha jua Ujinga wako umefikia wapi, sikulaumu ila narudishia shukran kwa wazazi wako walio kulea na huo upumbavu,Hahaha walikuwepo ndugu zako waliotaka hii thread ifungwe wakashindwa wakaondoka na sasa mumerudi upya na nyie mutaondoka watakuja wengine pia ππππ
Hii thread ilipoanza wengi wenu mlijua hii ni ile tz ya 90s
Pole sana tatizo lenu ukweli hamuutaki mulishazoea sifa za uongo πππNisha jua Ujinga wako umefikia wapi, sikulaumu ila narudishia shukran kwa wazazi wako walio kulea na huo upumbavu,
Kwanza hangaikeni sana kumaliza huu ugonjwa unaokula nyama za wakenyaπππππππNisha jua Ujinga wako umefikia wapi, sikulaumu ila narudishia shukran kwa wazazi wako walio kulea na huo upumbavu,
Kijana mdogo wacha longolongo. Sasa unatuletea figures from your government ilhali hutaki kukubaliana na figures za world bank! Ingekuwa ni mkenya ameleta source ya government ya Kenya you would have been so quick to dismiss them saying those are cooked figures. Is that not double standards? Halafu ulivyo mjinga, hukuchukuwa hata mda wako kusoma ripoti yenyewe. In the subtopic ' Electrification demand and electrification rate' it CLEARLY says ... 'World bank figures from 2014 shows a 30% overall electrification rate...with only 18% of your rural folk having access to electricity....' Kubali yaishe, ni asilimia 32 tu ya watanzania ndio wako na umeme na hata hiyo serikali yenu 'tukufu' imedhibitisha hiloChukua hii source from gvt of tanzania usome uelewe πππππππππ
We all know kijiji (a glorified village) hapa EA ni gani so hakuna haja ya mabishanoMsapere akili ndogo,huwez compare Nbo na izo city hata siku moja,icho kijiji chenu bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nangoja jibu lako kuhusu world bank link uliyoniitisha. Hapa hautapumuathen why the hell do you still bring your ugly kunyan ass here? kapambane na huu uchafu wenu kwanza, eti Cairo, those Egyptian Arabs are something else
View attachment 1066549View attachment 1066550
Does the entire place look like that ama five meters kutoka hapa ni zile dream houses za Dar?Wanaopenda kuulizia nyuma ya hizi Towers pale Makumbusho
View attachment 1066554
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana tatizo lenu ukweli hamuutaki mulishazoea sifa za uongo [emoji38][emoji38][emoji38]
Miaka 50 mliokua mkijenga nchi wakat sisi tunawahangaikia nchi zingine kupata uhuru sijui mulijenga nn[emoji23][emoji23][emoji23] ushuzi wa bata
Ondoeni kwanza tittle ya slum hub ndio urudi hapa,jiji lenu zaidi ya nusu ni choka mbayaWe all know kijiji (a glorified village) hapa EA ni gani so hakuna haja ya mabishano
You need to look at google earth images between these two cities then you'll know what I mean. Dar is a glorified village with corrugated iron sheets spreading as far as the eye can seeOndoeni kwanza tittle ya slum hub ndio urudi hapa,jiji lenu zaidi ya nusu ni choka mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo maana huwa nawaambia watulie ikishakamilika watajuta,,,vile jinsi good looking inavyokuwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]walisema hatuwez jenga hasa waliposkia ndio itakua the modern electric train in africa,
View attachment 1066576
Sasa wewe umetoka kwa dimbwi lipi? Wakenya wengi kufanya kazi nchini Tanzania inakuonyesha nini kama mtanzania? Kwanza ni dhihirisho kwamba hamna enough human resource kuendeleza uchumi wenu ndo maana tuko na uchumi kubwa kuwaliko so you should even thank us. Pili, inaonyesha kwamba wakenya ni watu wa kujituma, sio kama nyinyi wazembe waliobobea kwa story za vijiweni na kongea za wengine ndio maana siku zote mmeaminishwa na sisiemu kwamba Kenya ilijengwa na wazungu. Nchi yetu tumeijenga kwa jasho letu japo changamoto bado zipo si haba. So chunguza unachosema usionekane mjinga wa kupindukia!Yaani mnahangaika na kufananisha kenya na Tanzania?
Tanzania ipo mbali sana
Moja ni nchi isiyo na ukabila
Pili ni nchi yenye neema sana kila mahali
Angalia mito maziwa bahari vyote huwezi kufananisha na nchi ya kenya.
Ukitaka kujua wakenya wapo hoi nenda mashule asilimia kubwa wanaofundisha private schools wanatoka kenya.
Zanzibar asilimia kubwa wanaofanya mahotelini wakenya. Na pia mashuleni.
Kwahiyo
Tanzania huwezi fananisha na kenya hata kidogo.
Yaani mnahangaika na kufananisha kenya na Tanzania?
Tanzania ipo mbali sana
Moja ni nchi isiyo na ukabila
Pili ni nchi yenye neema sana kila mahali
Angalia mito maziwa bahari vyote huwezi kufananisha na nchi ya kenya.
Ukitaka kujua wakenya wapo hoi nenda mashule asilimia kubwa wanaofundisha private schools wanatoka kenya.
Zanzibar asilimia kubwa wanaofanya mahotelini wakenya. Na pia mashuleni.
Kwahiyo
Tanzania huwezi fananisha na kenya hata kidogo.
Wewee usitusingizie ugonjwa wenu. Nyie ndio ambao kucha kutwa kwenye mitandao bila kuiongelea Tanzania hamjisikii vizuri. Kila mkitaka kujitangaza mnaweka comparisons na Tanzania. Ingia youtube n.k utakuta vitakwimu vyenu vya kuiongelea vibaya TanzaniaSasa wewe umetoka kwa dimbwi lipi? Wakenya wengi kufanya kazi nchini Tanzania inakuonyesha nini kama mtanzania? Kwanza ni dhihirisho kwamba hamna enough human resource kuendeleza uchumi wenu ndo maana tuko na uchumi kubwa kuwaliko so you should even thank us. Pili, inaonyesha kwamba wakenya ni watu wa kujituma, sio kama nyinyi wazembe waliobobea kwa story za vijiweni na kongea za wengine ndio maana siku zote mmeaminishwa na sisiemu kwamba Kenya ilijengwa na wazungu. Nchi yetu tumeijenga kwa jasho letu japo changamoto bado zipo si haba. So chunguza unachosema usionekane mjinga wa kupindukia!
Kabla hatujaenda mbali sana, hii thread ilianzishwa na mkenya au mtanzania? Nijibu hiyo kwanza ndio tujue nani anapenda comparison kati yetu na nyieWewee usitusingizie ugonjwa wenu. Nyie ndio ambao kucha kutwa kwenye mitandao bila kuiongelea Tanzania hamjisikii vizuri. Kila mkitaka kujitangaza mnaweka comparisons na Tanzania. Ingia youtube n.k utakuta vitakwimu vyenu vya kuiongelea vibaya Tanzania
So kisa hii thread ndo ukaamua utupake tabia yenu? Kweli nyani haoni kundule na mkuki kwa ngurue mtamu ila kwa binaadamu mchungu.Kabla hatujaenda mbali sana, hii thread ilianzishwa na mkenya au mtanzania? Nijibu hiyo kwanza ndio tujue nani anapenda comparison kati yetu na nyie
GoodTime will tell