Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna faida gani uwe na access alaf umeme huna faida iko wapo???👇👇👇👇

Unaeza kua na njia za umeme lakini ukawa huna umeme unalijua hilo😆😆😆

Idadi iliowafikia na umeme hakuna so watu wanapolalamila maana yake wajinga sindio
 
Unaeza kua na njia za umeme lakini ukawa huna umeme unalijua hilo😆😆😆
Arguing with these magufuli boys is one hell of a problem. Magufuli kawatia vifuli vichwani hamuwezi elewa vitu rahisi. Yote Tisa, kumi ni kwamba asilimia kubwa ya wakenya sana access ya stima ikilinganishwa na nynyi hapo bongolala. That's the mist most important thing. How you interpret it is none of my business
 
Access na power hakuna
Na hapo ulivo fala hujafkiria kua tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya 😆😆😆

Wacha hasira kwanza utuambie umeme uko wapi wiki nzima watu wanapewa kwa mgao umeme kweli MLDC😆😆😆😆
 
Kuna faida gani uwe na access alaf umeme huna faida iko wapo???👇👇👇👇

That's a normal service interruption kijana. Mbona mambo madogo yanawapa mdagumu kuelewa? Umewai enda bank ukaambiwa ATMs hazifanyi kazi? Na umewahi jiuliza ni kwanini? It's called service interruption na Mara nyingi inasabishwa na scheduled maintenance. Know the difference between a service interruption na rationing. Rationing can go for several days or even weeks but a normal service interruption will take just a few hours before resumption
 
Access na power hakuna
Na hapo ulivo fala hujafkiria kua tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya 😆😆😆

Wacha hasira kwanza utuambie umeme uko wapi wiki nzima watu wanapewa kwa mgao umeme kweli MLDC😆😆😆😆
Jifariji basi. Mko na access rate kubwa kutushinda na Tanzania hakujwahi tokea wala haitowahi tokea service interruption ya umeme, you see, you are a first world country. Kongole, ila zile figures hazitowahi badilika. Hiyo ndo jambo la muhimu
 
unaelewa maana ya access??

unaweza ukawa na access ya stima na bado stima usiwe nayo,usiendekeze ujinga kiingereza mingi kichwa boga
 
Ulitaka credible sources, sio?? Angalia hizi documents mbili nimeattach hapa…..As at the end of 2018, power access rate in Kenya stood at 64.5% with a plan to have universal power access by 2022. In your LDC, Power access rate by the end of 2018 stood at 32.7% (Very shameful)….More than half of the entire Tz population is not connected to electricity. You plan to have universal power access by 2030, 8 years after we will have achieved ours. Very very shameful for people to live in darkness!
 
Attachments

unaelewa maana ya access??

unaweza ukawa na access ya stima na bado stima usiwe nayo,usiendekeze ujinga kiingereza mingi kichwa boga
As I said, how you interpret it is none of my business. The most important thing now is that 56% of Kenyans have electricity in their hones compared to only 32% of Tazanians. Yani tuko karibu kudouble your current access rate. Figure don't lie mate
 
A Achana na hawa vilaza wa bongo. Yule mwingine aliniitisha link ya world bank nikamletea na sijamuona tena humu wala hajasema lolote. Najua anachungulia tu kwa mbali
 
Jifariji basi. Mko na access rate kubwa kutushinda na Tanzania hakujwahi tokea wala haitowahi tokea service interruption ya umeme, you see, you are a first world country. Kongole, ila zile figures hazitowahi badilika. Hiyo ndo jambo la muhimu
Ahahhaha safari hii ngoma imedunda kila mkifurukuta wapi hakuna nafuu😆😆😆
Nchi haina muelekeo iko kwenye giza nene sana
 
Access na power hakuna
Na hapo ulivo fala hujafkiria kua tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya 😆😆😆

Wacha hasira kwanza utuambie umeme uko wapi wiki nzima watu wanapewa kwa mgao umeme kweli MLDC😆😆😆😆
Access rate is not measured by how big or small a country is. It is based purely on the total number of people who have access to the service. Hallooo!!
 
A
Achana na hawa vilaza wa bongo. Yule mwingine aliniitisha link ya world bank nikamletea na sijamuona tena humu wala hajasema lolote. Najua anachungulia tu kwa mbali
Unajua wanafikiri these are figures we cook to please ourselves.....All they know is to fight with words, while we retaliate with figures and numbers...…
 
Unajua wanafikiri these are figures we cook to please ourselves.....All they know is to fight with words, while we retaliate with figures and numbers...…
Washenzi sana. MTU anataka kupingana hadi na world bank wakati yeye amepiga kambi pale gongo la mboto uswazini
 
As I said, how you interpret it is none of my business. The most important thing now is that 56% of Kenyans have electricity in their hones compared to only 32% of Tazanians. Yani tuko karibu kudouble your current access rate. Figure don't lie mate

you wrong my friend..
when we say "access to electricity" we mean someone is able to reach the electric infrastructures with less obstacles,but that person may be living with no electricity
 
Washenzi sana. MTU anataka kupingana hadi na world bank wakati yeye amepiga kambi pale gongo la mboto uswazini
Kuna mwingine hapo alikuwa amequote business daily about Lamu port, that its a white elephant....Alikuwa ameacha some sections of the article ndo ajifurahishe…..Nikamtolea full article....Sema povu, mimi sijawai kuona wajinga kiasi hiki!
 
you wrong my friend..
when we say "access to electricity" we mean someone is able to reach the electric infrastructures with less obstacles,but that person may be living with no electricity
Hahahhahaha…...Huu ni upuzi wa hali ya juu….Acha ujinga aisee! Soma hii article ndo uelewe Zaidi na uache kuonyeshana ujinga wako kwa public....
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…