Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahsante sana mkuu... hiyo njia ya kati wamesema itakua ya BRT vipi kuhusu vituo vitajengwa na estim au atakuja mtu mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanamix mafaili ile njia ya kati kati ni kwa ajilinya mabasi ya mikoani express sio mwendokasi ila kwa kuanzia mbezi kuja mpaka kibahaa ila mbezi kuja city center ndio mwendokasi pale kati na yenyewe itakuwa express nikisema express namaanisha haisimami ni direct so gari ikiingia kibaha imetoka musoma n direct mbezi na mwendokasi mbezi ni direct to kimara ndio kinachofanyika mkuu

Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, express road ni muhimu sana. Kuna moja wali ipanga fly over itoke kurasini (bandarini) kupitia chanika nakushukia chalinze kama sijakosea ili ishia wapi? Ilikua iwe PPP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha
Ruhuru mawazo mapya yatawale siku yako. (Pichani, mapambazuko, ya asubuhi, Tenge.jpg
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, express road ni muhimu sana. Kuna moja wali ipanga fly over itoke kurasini (bandarini) kupitia chanika nakushukia chalinze kama sijakosea ili ishia wapi? Ilikua iwe PPP

Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani ipo kwenye miradi ya 2019/20 ila sio flyover n road ya kawaida ila n express mean haina bamsi na traffic light pia zinakuwa chache mno most kwenye junction n under au over pass na n ya kama km 100 nazani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom