Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya iko wapi hapa?
Screenshot_2019-03-29-20-43-28-911_com.twitter.android.jpeg
 
JPM aliwaambia wasipake upya rangi nyeupe pamoja ule mkanda wa blue kwa sababu tayari zilikuwepo kama background originally. Aliwaambia wao wachore Twiga na kuandika hayo maneno basi, Kazi rahisi sana.

Jamaa walitaka kwenda South kupiga rangi ndege yote pamoja na kuweka hizo nembo na maandishi.
Basi wangemchora anakimbia kama kwenye Bombardier!
 
Your town looks like A town in kusadikika, a town of three blue towers amidst a sea of slums and poverty. It's such a pity
 
Kuna mlevi mmoja yeye ushirikiano hupo kwenye maneno tu, anashinda akizulula akipigia watu makelele kuhusu ushirikiano ila matendo zero. Watu wamesha mchoka, kuna siku atatimuliwa airport. Mnao mjua mwambieni atulie kwake apambane na maelfu ya matatizo yanayo wakabili raia wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom