Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uelewa ukiwa mdogo hauwezi elewa,ila inshort huwa tunajifunzia kenya pale kibera international airport

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kisu cha ngariba kimegusa ndipo sasa umebaki tu ukitoa povu ndoo nzima. But on a serious note, how on earth are you building your first aviation school in 2019 wakati Kenya ziko kama tano au sita? And then mko busy mkijicompare nasi. Shindwe kabisa
 
Screenshot_2019-03-25 Darcity © on Instagram “The sun is going down in the beautiful city of D...png

Insta. @daressalaamcity
 
You are so desperate to prove a point. That billboard in the background is by Africell, a telecommunications service provider. Last time I checked, there was on such service provider in Kenya so we we no pimbi tu
So unakataa hapo sio kibera😂😂😂😂
 
wakati rais magufuli akiwazawadia wachezaji wetu wa taifa stars plot za kujenga nyumba katika mji wa dodoma, huko kenya tangu mwaka 2018, wachezaji wa harambee stars wanasotea ahadi fake ya kuzawadiwa ksh 50 million na bus la kisasa kutoka kwa makamu wa rais william ruto.
Screenshot_2019-03-26-07-25-02-215_com.twitter.android.jpeg
IMG_20190326_074743.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-03-26-07-30-13-543_com.twitter.android.jpeg
    Screenshot_2019-03-26-07-30-13-543_com.twitter.android.jpeg
    95.7 KB · Views: 23
Naona kisu cha ngariba kimegusa ndipo sasa umebaki tu ukitoa povu ndoo nzima. But on a serious note, how on earth are you building your first aviation school in 2019 wakati Kenya ziko kama tano au sita? And then mko busy mkijicompare nasi. Shindwe kabisa
usilolijua ni sawa na usiku wa giza endelea kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mid income fake wa kibera unafanya nn kwenye huu uzi,si ulisusa wewe!?

Back
Top Bottom