ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Onesha tulichokuwagiza 😆😆😆😆 onesha hzo white elephants tuone munajenga nnsasa wewe na hii ubunwasi wako kuna kutu wanaeza ku TAG, wacha utoto,
Onesha tulichokuwagiza 😆😆😆😆 onesha hzo white elephants tuone munajenga nnsasa wewe na hii ubunwasi wako kuna kutu wanaeza ku TAG, wacha utoto,
Kama umeishiwa hoja ni bora ukakaa kimya au ukasepa km walivyosepa ndugu zako,sio kulete utoto kama huu unaouleta
Mwasiti umeshindwa kuvumilia umeamua kurudi kivingine!Sawa buda umekubali Mombasa vs Dar...have a nice day JKemah atadeal na wewe ipasavyo mimi ukinitaka nipate kwa uzi wa Nairobi the city in the sun.
hatari fireeView attachment 1053802
View attachment 1053803
View attachment 1053804
View attachment 1053805
View attachment 1053806
Sent from my iPhone using JamiiForums
mtapata tabu sana maana TPA tower siioni Na PpF the giant zinawatesa😇😇😇Kijana naona unawakanyaga kama kawa kama dawa, wacha nikuwachie hii uzidi kuwapiga kiboko hawa wala vinyesi...
View attachment 1053649
Alafu uwakumbushe hapa ni Mombasa na Dar is sluuum haina kiwango kama hiki
View attachment 1053652
View attachment 1053653
View attachment 1053654
Nitarudi hapa 2021 kuwachokoza wala kinyesi baada ya Nrb kukamilisha tallest building in Afrika just kuwakejeli kidogo tu iliwatoe povu ama watuwachie huu uzi tuutawale
Mombasa juu Dar chini kama iashiriavyo picha hii...that is the face we make sexing Tz
View attachment 1053656
Uzuri wa Kenya wakiona mnawazidi wanaongeza mlingoti 😂😂😂Lina 31 floors britam alaf lina mnara wenye urefu zaidi ya 80m😆😆😆😆
Na treasure tower inakuja opposite na hapo 21 flrs..
View attachment 1054053mtoto wa Janerose mzalendo akifanya hw mida hii kibera,umeme hamna anatumia mwanga wa taa za magari
View attachment 1054053mtoto wa Janerose mzalendo akifanya hw mida hii kibera,umeme hamna anatumia mwanga wa taa za magari