Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
Dar na Zanzibar ndio inasifika Sana maana Mombasa ni ya tatu after Dar and Zanzibar ukanda huu.Kama hujui Mombasa vile!!! Mombasa inasifika Kwa nn Duniani Ile gomora mpya na ni Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe kamhonga m7 ili muweze kufuzu.Rushwa inapokua kwenye dna kila kitu utaona ni rushwa. Uganda sio wajinga namna hiyo tena uwatake radhi. kupoteza mechi ni kupoteza points za fifa ranking, nani akubali rushwa au ndio style yenu nini
porojo.... na nyinyi tafuteni kitu cha kumuohonga ili awaachie kisiwa cha migingo....




Na unapenda miguna ,ama siku hizi ndio boyfriend wako?.porojo.... na nyinyi tafuteni kitu cha kumuohonga ili awaachie kisiwa cha migingo....
View attachment 1053364
Kwani Kenya siku hizi kuna wanaume si nasikia mahakama imewaruhusu kuolewa marekani na hata Tanzania 'japo hatutumii hiyo kitu' ili mjipatie kipato na kupunguza makali ya njaa?
huna hoja shoga la kimombasa.
m7 anacheza mpira? au kocha?
Semenya!
mimi nimesikia sauti yake nikafikiri anaongea dume kumbe------------walahi kua uyaone
Kijana naona unawakanyaga kama kawa kama dawa, wacha nikuwachie hii uzidi kuwapiga kiboko hawa wala vinyesi...
Kijana naona unawakanyaga kama kawa kama dawa, wacha nikuwachie hii uzidi kuwapiga kiboko hawa wala vinyesi...
View attachment 1053649
Alafu uwakumbushe hapa ni Mombasa na Dar is sluuum haina kiwango kama hiki
View attachment 1053652
View attachment 1053653
View attachment 1053654
Nitarudi hapa 2021 kuwachokoza wala kinyesi baada ya Nrb kukamilisha tallest building in Afrika just kuwakejeli kidogo tu iliwatoe povu ama watuwachie huu uzi tuutawale
Mombasa juu Dar chini kama iashiriavyo picha hii...that is the face we make sexing Tz
View attachment 1053656
Sawa buda umekubali Mombasa vs Dar...have a nice day JKemah atadeal na wewe ipasavyo mimi ukinitaka nipate kwa uzi wa Nairobi the city in the sun.mnajuaga kujidanganya na kujifariji kweli! hapo kwenye list sion TPA wala PPF View attachment 1053664View attachment 1053666View attachment 1053668